Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Ukiachana na faida zingine ambazo pengine labda zipo ila mimi sizijui ila faida moja ya wazi ni kuhamasisha tu.Kwani faida ya hizi Likes hua ni nini hasa?
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.