je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana
hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana kazi yoyote MTAANI .Bali wanakula tu Hizo hela alafu wanashindwa kulipa na kudhalilishwa na watoa MIKOPO.!
Kwa mfano jirani yangu kabisa kumbe alikopa huko sijui alipatwa na balaa gani
BASI BWANA WAKAANZA KUTUMA SMS KWA KILA MDAU WAKE WA KARIBU
SMS
INASEMA HIVI
MIMI FULANI BIN FULANI NAJIUZA KWA BEI RAHISI. SANA KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA HIZI 0***1235678
OMBI LANGU WASICHANA PUNGUZENI TAMAA ZA KUTAKA HELA ZA HARAKA AMBAZO HAMUWEZI KUZITAFUTA
KAMPUNI ZA MIKOPO KAMA HAMUWEZI KUKUSANYA MIKOPO YENU KWA HEKIMA ACHENI MARA MOJA KUKOPESHA WATU KWA KIGEZO CHA NAMBA YA NIDA TU. MANA SIKU MTAKUJA KUKOPWA KWA NAMBA ZA MAREHEMU.