Watoa povu

Watoa povu

Nope sio huyoo kabisa kwani ndo anaishi Us peke yake,watanzania waliopo jf na wanaoishi Marekani wapo wengii tu humu sema wengine hawasemi
Halaf G yupo Us lakin habebi boks kaajiiri wabeba boksi
Hebu mwambie nami naombapo ajira jamani.
 
Back
Top Bottom