Hehhehhe watu hawapendi upendweeeeeAcha nisifie wa kwangu mimii roho yanguuu
Kamzidi ndioHuh!!
Inamaana kamzidi ulimwengu?
Mbona we mshana haibiwiimpeti pet huko huko tsap mama huku balaaaaa
Thubutu watu wamejipangaaaaaaAcha tu nimejipanga shemeji yangu mganga nitawaroga
Bado sijatakaHamna namna nyingine, ajitokeze tu kwakweli.
Nimekumbuka kitu naomba nikachekee kwingineeThubutu aringeeeee
Kamzidii nakwambia mm nimemuonaaa shemej ni hanshaaaamy wacha mama sab azimieeeeeHuh!!
Inamaana kamzidi ulimwengu?
Oooh kumbe! Basi ngoja nitangulieNaogopaaa kutukanwa na id mpyaaa tukutane tsap huko tukapeane screen short
HahahahahahahahaNaogopaaa kutukanwa na id mpyaaa tukutane tsap huko tukapeane screen short
Ewaaaaah nakaziaaaaHamna namna nyingine, ajitokeze tu kwakweli.
Subiri kwanza niende Us kwanza ndio nawe ujeMbona unaanza kuniwekea vkwazo bila sababu!!! Mimi singo lede bwana.
Hamna bwana, utamu ni ule ule.Itaisha utamu
Nan ?Namwekea mtu kwenye mabano.
HahahahahaahHebu kwenddni huko, mrusheni tuone km itapasuka kweli.[emoji85] [emoji85]
Hahahaa! Ndio yaongezeka utamu ati.Inapata kutu mburaaaah
Wapendwe na wao tu hakuna namnaHehhehhe watu hawapendi upendweeeee
Hongera yakNimewahi siti leo
Si utanigawia tu uchawi kidogooThubutu watu wamejipangaaaaaa
Hahahaaaa!!!! Naww ukanijibu kimtego si ndio?Kamzidi ndio
Swali lako limekaa kimtego
Espy anadhan tunamtaniaaKamzidii nakwambia mm nimemuonaaa shemej ni hanshaaaamy wacha mama sab azimieeeee