Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Our leaders are too sleepy and corrupt. and our citizens are too busy building churches. while the devil is too busy to exploit and eradicate our race.Its so sad and terrifying
The children of Us are suffering and hunger is within their souls
Leaders should do something to overcome this issue before it gets rooted to the bottom...
Faaaaaaaact in ticks!!!!!!!!....... uko on point mkuuIli sisi wa Africa tuheshimike duniani ni vyem tungekuwa tunasaidiana sisi kwa sisi, mfano njaa imetokea nchi fulani basi serikali za Africa zitoe magari ya kijeshi kusupply chakula mara moja kupitia mfuko wa dharula.
Ili sisi wa Africa tuheshimike duniani ni vyem tungekuwa tunasaidiana sisi kwa sisi, mfano njaa imetokea nchi fulani basi serikali za Africa zitoe magari ya kijeshi kusupply chakula mara moja kupitia mfuko wa dharula.
Na msipo wasaidia. Wana agenda kama kina billgate watakuja na idea ya kupunguza population, watawahonga viongozi wenu ili wakubali zoezi. Huku kwa wananchi mtadanganywa na kuambiwa ni msaada kumbe vyakula vimegongwa sindano za poison.Yes wafanye hivyo jamani kwanini wafe na njaa si kuwe na mashamba yalimwe kwaajili ya chakula cha watoto tu jamani
Inaumiza hii hali
Mkuu tatizo lipo kwa viongozi sio wananchi. Wananchi wanakose kwa kutokujua. Ila viongozi wanakosea kwa kujua kabisa. Na mwananchi ni kama mtoto mdogo. Siku zote anamsikiliza baba yake(raisi) anaamua nn kuhusu matatizo yake. So kama baba yuko corrupt na anataka kujifaidisha mwenyewe, lazima mwananchi aumie.Waafrika tukidharauliwa tunanuna! Bara lina rutba, lakini watu wanakufa njaa, Wengine wapo Jangwani lakini wanashiba na kutupa chakula.