Watoto acheni mambo ya nani kama mama, wababa tunateseka sana kwa ajili yenu

Watoto acheni mambo ya nani kama mama, wababa tunateseka sana kwa ajili yenu

Kaka madenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
312
Reaction score
582
Huwa nashangaa sana unakuta Toto linapost huko eti nani kama mama!

Sikatai mama ana umuhimu wake ila na wababa wanahusika pia sana kwenye malezi ya mtoto .
Au sababu huwa hatukai na watoto muda mwingi?

Leo kuna jamaa kapita kwenye lami amepakia magunia 3 kama sikosei kaka kwenye tenki la pikipiki yake huko spidi anawahisha kwa bosi wake
Mara hamadi! Tumemkuta chali kalamba mweleka magunia yamefunika na kumbana kabisaaa

Wakaja boda wengine kumtoa haraka kachubuka sana mwilini
Kwa kweli nikaja gundua wanaume tunapigika sana maishani jamaa lazima atakuwa na family home lakini Toto unakuta linasema nani kama mama
 
Inauma sana Mkuu lakini mapenzi ya baba watoto wengi wanakuja kuyatambua ukubwani wakishajielewa unakuta watoto wengi wanawaogopa baba zao kwa sababu baba hajajenga mapenzi kwa mtoto yaani jamaa akirudi kutoka mihangaiko ni kauzu kama mbuzi bora ata mbuzi anakenua sasa ata mtoto akipata shida anaona bora amwambie mama kulko baba
 
Kweli mnapambana lakini matunda wanakula vimada, mama anavumilia mengi kwaajili ya watoto wake...atadundwa Kama ngoma, atatukanwa na bado haondoki kwa mume kwaajili ya watoto wake na mengine mengi that's why watoto hawaoni umuhimu wenu.
Poleni sana...
Ila wapo wababa wanaojitambua Kama baba yangu. Niliziona juhudi zake tangu mtoto hadi nimekua mkubwa.
Sioni tofauti ya baba yangu na mama yangu kwenye malezi yangu..wote wamenipambania kwa usawa.
 
Pumba
 
Umeandika kwa kutumia hisia na sio akili.
 
Mna walisha sumu kujipendekeza ili mkiwa vikongwe msaidiwe ninyi.Kuhusu sisi tunapambana Hadi uzeeni hatutegemei mtu.Kama ukinizingua mchepuko deal
 
SLAVERY OF MEN BY WOMEN

German writer Esther Villar In her book "The Manipulated Man" that caused outrage and hostile criticism from women explains how women since the earliest times have manipulated men and turned them into their slaves, they have pretended to be the oppressed sex while in the real sense they are the oppressors.

She explains how a woman manipulates a man skillfully by steps like courtship and finally marriage, hence the saying "a man chases a woman until SHE catches him".

In her book she explains how the man is tricked to care for the woman all his life and her offspring. He rolls the stone like Sisyphus and in turn gets rewarded by a few minutes of sexual pleasure. We can, by observing Esther Villars assertions that a man is a slave of his desires and the woman uses and has used it for thousands of years as a stick and carrot to keep the man chasing vanity and commit his life to serving her.

She goes ahead to explain the rivalry of women, how each woman feels the powerful urge and need to own a male for herself. Like a slave owner she detests any move the man would make to offer his services to another woman. She uses all means to keep the man to herself and her offspring alone.

Esther Villar's sentiments are captured by Nigerian Poet, critic and writer, Chinweizu Ibekwe in his book, "The Anatomy of Female Power" (AFP) and Will Farrel's, "The Predatory Female".

They all push the theory that all societies are matriarchal and not patriarchal as we are pushed and forced to believe. Matriarchy has ruled not through brawn but wits and tricks; women feigning weakness to be protected etc. Thus the male becomes the most exploited sex in human history, (in wars the man is always ready to die for the woman; he has been trained to do that).

Chinweizu calls the idea of dating and courtship, training, like that of a horse. It is during this time that a woman having kept the man on a leash by denying him sex and getting him addicted to her by false charms, trains and breaks him to whatever she wants him to become.

The marriage celebration becomes a celebration for the woman and her friends, and they all congratulate her for having succeeded in getting herself a slave. A man on that wedding day waves goodbye to his independence and his coalition of males and commits himself to a Sisyphean life, rolling the stone, an act he cannot abandon having society and the government checking on him and always ready to jail, shame or exile him for absconding his duties.
Thus the government and society helps the woman in keeping her slave in check.

Chinweizu gives a narration of how women are trained by older matriarchs to tame men. He explains how a man is trained to rely on women by his own mother. A man is shamed for cooking for himself and other domestic chores by his own mother who is an agent of the global matriarchal rule.

By getting the man to hate domestic works and having it enforced by culture which warns men against going into the kitchen, doing laundry etc., the mother trains his son for the woman who will captivate him and when the time comes she takes hold of the man's stomach and by getting the man addicted to her body she holds him by the two, in bed and in the kitchen. With those two weapons she manipulates the man and turns him into her plaything.

In the "Myth of the Male Power", Esther Villar's " A Man's Right to the Other Woman"; "The Polygamous Sex", the authors of those books challenge the narrative that men oppress women, and by detailed research across African, Western and Eastern both in ancient and modern societies, the authors unravel the hidden power of the ruthless matriarchal power that rules the world.

Presidents, Emperors and Kings are all puppets of the matriarchy forces that rule the World by pulling the strings from behind the curtains.
 
Na wanatuzeesha kweli kweli kuwa tumikia
Na kuwapa sumu watoto ndo zao.Unampa ada akamlipie mtoto anamwambia mtoto mwanangu nimekulipia ada mtoto udhani mama ndie aliyetoa pesa.Sahihi ni baba kalipe ada bank mpe risiti mtoto au mpe pesa mke mbele ya mtoto mama fulani hela hii uende ukalipe ada kesho ya fulani.Ina maana kubwa Sana hii kimakuzi ya mtoto.Kumuepusha na sumu za kina mama dangote.
 
Kweli mnapambana lakini matunda wanakula vimada, mama anavumilia mengi kwaajili ya watoto wake...atadundwa Kama ngoma, atatukanwa na bado haondoki kwa mume kwaajili ya watoto wake na mengine mengi that's why watoto hawaoni umuhimu wenu.
Poleni sana...
Ila wapo wababa wanaojitambua Kama baba yangu. Niliziona juhudi zake tangu mtoto hadi nimekua mkubwa.
Sioni tofauti ya baba yangu na mama yangu kwenye malezi yangu..wote wamenipambania kwa usawa.
kwan mchepuko una shida gan kama na wew unapata mahitaji yako yote na wanao.
 
Ni kweli wababa wengi (angalau mimi nimeona wengi) wanapambana sana kwa ajili ya familia zao, lakini wana kwama sehemu moja tu, kutokuwepo/kutokuhusika moja kwa moja kwenye maisha ya watoto wao.

Inahitaji mke/mama mwenye busara sana kuwaambia watoto wake hiki amefanya baba na hiki na hiki. Lakini ukichunguza vizuri utagundua mtoto kufahamu kuwa baba amefanya hiki na hiki haitoshi yeye kuelewa uzito wa mtu kuwa baba. Nikahitimisha kuwa nature haipo upande wa wababa no matter watafanya vitu vingapi, nature ipo upande wa wamama no matter watafanya vitu vidogo kiasi gani, ile tu kumzaa na kumnyonyesha mtoto (which naamini bond kubwa inatengenezeka kwenye kumnyonyesha) yaani yale malezi ya Infant, na inaendelea katika makuzi mpaka pale mtoto anapotoka kuwa minor na kuwa mtu mzima.

Hii topic iko humu tumeshaidiscuss sana, bado mimi nasisitiza kuwa wanaume mna nafasi ya kubadilika, mimi nimeona bond za single fathers na watoto wao sasa kumbe tukichunguza vizuri tunaona tatizo lilipo, wanaume sababu mmejivika utafutaji wa pesa hamtaki ku-multtask, mbona wamama wanatafuta pesa na wanaangalia familia! Kupanga ni kuchagua, ama basi mkubaliane na hiyo hali ya watoto kuendelea kuimba nani kama mama, which haiathiri chochote zaidi inaintmidate your flagile egos.
 
Kweli mnapambana lakini matunda wanakula vimada, mama anavumilia mengi kwaajili ya watoto wake...atadundwa Kama ngoma, atatukanwa na bado haondoki kwa mume kwaajili ya watoto wake na mengine mengi that's why watoto hawaoni umuhimu wenu.
Poleni sana...
Ila wapo wababa wanaojitambua Kama baba yangu. Niliziona juhudi zake tangu mtoto hadi nimekua mkubwa.
Sioni tofauti ya baba yangu na mama yangu kwenye malezi yangu..wote wamenipambania kwa usawa.
Sio wote,tulio wengi tuna hustle Sana kwasababu ya Upendo wetu kwa familia zetu lkn mwisho wa siku tunaambulia ushuzi.
 
Back
Top Bottom