Watoto acheni mambo ya nani kama mama, wababa tunateseka sana kwa ajili yenu

Labda baba'ko mkuu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma koment yako, nimeona ni kama unajipinga wewe mwenyewe... Yaani kinachokufanya uone baba yako kafanya vizuri, ile tu KUWA NI BABA YAKO...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋👋
 
Adamu alimkana muumba wake kisa mwanamke, itakuwa sembuse wewe uliyezaliwa na mwanamke
 
Tuache kujitetea sana Mkuu....Huo ni wajibu wetu,kama unabisha acha usiwalishe watoto wako + kuwasomesha uone itakuwa vipi.

Kuna mambo mengi tusijiendekeze kwa sababu tumekuwa wanaume...

Sasa ulipomzaa hukujua utakuwa na wajibu wa kumlea???

Au alizaliwa kwa bahati mbaya???

Au si wako?

Kipindi cha tendo tunafurahia sana,mtoto akipatikana tunajipiga kifua + kujimwambafai kuwa tunasomesha,kulea...sasa kwani huo ni wajibu wa nani???....

Unakuta jitu lizima kabisa linamwambia mtoto wake Mshukuru Mungu nimekusomesha....isee kuna mambo SHAME kabisa!

Tusitegemee kitu kutoka kwa mtoto..labda iwe shukrani tuu.

Mwisho lakini sio kwa umuhimu,HATA MTOTO AKIFANIKIWA VIPI KAMA AKIAMUA KUKUSAIDIA + KUKUTUNZA NI HIYARI YAKE NA SIO KUMLAZIMISHA NA KUMKUMBUSHIA KUWA UMEMTUNZA + KUMLEA.
 
mbona fujo kiongoz
 
Jukumu letu ni kuhakikisha mama na watoto wanafwata mstari ulionyooka. Sasa hapo kwenye kufwata mstari ulio nyooka ndio pana tatizo. Wengi wanaishia kutuchukia.
Hata akina Mama wanalielewa hili ndiyo maana mtoto akikosea wnaamuambia ngoja baba yako arudi, atakuadhibu.
 
Maneno ya Nani km mama in ya kike sana

Sasa wewe jembe upostiwe afu uandikwe Nani km baba huoni km vile umevalishwa skirt kiaina?

Baba akipostiwa unaandi jemadari, mzee wangu, kamanda n.k

Yaani maneno magumugumu.
 
Jamaa yangu alishauriwa na mkewe,".....baba x jitahidi uongeze miradi na majumba ili hata ikitokea ukafa mapema watoto wangu wapate cha kurithi." Mpaka leo jamaa anaishi kwenye kajumba ka vyumba viwili na sebule
 
Nani Kama mama!bibi,huu msemo nani Kama mama,Ili kuonyesha umuhimu wa mama ktk malezi,ulikuwa na maana,kipindi hicho,sio kwa kizazi hiki sasa hv,sasa hv wanawake wa kidigitari,hawajari kitu,wanao pambana kuhakikisha familia inakaa sawa,ni wanaume

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Sad truth, men come to this world thru a hole, then work hardest all their lives for few minutes sexual pleasure thru a hole, then they die, most r buried in a hole.
Hicho kitundu ni shidaah aisee!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
KAMA MAMA YAKO ALIJIPA MIMBA YEYE MENYEWE BASI HAKUNA KAMA MAMA.
KAMA ALIPEWA NA BABA YAKO, BASI

“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…