Watoto Kujiua tatizo ni nini?

Watoto Kujiua tatizo ni nini?

Saleh Mmambiia

New Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Safari Ya Maisha | Maisha Hayawezi Kuwa sawa | JE NI SAWA | Mwandishi Wa nakala ya safari Ya maisha anauliza | tatizo ni nini hasa je ni deko | au kutokukomaa kwa nafc na yale tunayopitia ? | malezi ya wazazi | kuiga katika mitandao | mihemko ? | Msongo wa mawazo | au tatizo ni nn hasa | mwandishi anauliza kma yy amepitia meng magumu na mazito ktk makuzi lkn hajawahi kufikiria kujiua kwa nn watoto wa le wamekuwa wanalewa sifa na kudhani kujiua ni njia sahihi ya utatuzi matatizo | Mwandishi anauliza au kujiua ndio njia ya utatuzi wa matatizo na watu hawasemi?
 
Back
Top Bottom