Watoto kuwahi shule alfajiri: je, ni mafanikio ya kielimu AU tishio kwa afya?

Watoto kuwahi shule alfajiri: je, ni mafanikio ya kielimu AU tishio kwa afya?

Huruma sio malezi. Ni lazima watoto wapitie mchakamchaka. Ikiwezekana kuwe na somo la ufugaji shule hizi za mabasi ya njano.

Nashauri Saa saba ikifika watoto wakachunge mbuzi au kuhudumia nguruwe wa shule.
 
Watoto wafike shule mapema sana,maisha yenyewe sio lelemama.
Enzi za utoto wangu nilikuwa naamka alfajiri siku 7 za wiki.
 
Back
Top Bottom