Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,929 Reaction score 7,927 Oct 3, 2026 #21 Huruma sio malezi. Ni lazima watoto wapitie mchakamchaka. Ikiwezekana kuwe na somo la ufugaji shule hizi za mabasi ya njano. Nashauri Saa saba ikifika watoto wakachunge mbuzi au kuhudumia nguruwe wa shule.
Huruma sio malezi. Ni lazima watoto wapitie mchakamchaka. Ikiwezekana kuwe na somo la ufugaji shule hizi za mabasi ya njano. Nashauri Saa saba ikifika watoto wakachunge mbuzi au kuhudumia nguruwe wa shule.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,313 Reaction score 6,636 Oct 3, 2026 #22 Watoto wafike shule mapema sana,maisha yenyewe sio lelemama. Enzi za utoto wangu nilikuwa naamka alfajiri siku 7 za wiki.
Watoto wafike shule mapema sana,maisha yenyewe sio lelemama. Enzi za utoto wangu nilikuwa naamka alfajiri siku 7 za wiki.