Watoto mapacha waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa waruhusiwa kutoka Muhimbili

Watoto mapacha waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa waruhusiwa kutoka Muhimbili

Sasa si ndio wanapata motisha kwa kutengenezewa Legacy itakayo dumu milele hata wao wakifaa inabak kwamba chuo hiki kilijengwa kwasababu ya watu flan waliofanya mambo flan. Heshima yao na shukran za watanzania zitabaki milele kuwahusu wao
Ni sawa na kumwambia mwanasiasa atumie posho zake kwa kwenda kubadilisha umasikini uliopo jimboni mwake.​
 
Wameunganika INI alafu wametenganishwa????

Hapo nilitamaji pata ufafanuzi zaid manahicho kiungo kukitenganisha sijui kwakweli.

Ndio linatenganishwa, na wanaotesha seli sehemu ambapo itahitajika kufanya hivyo...
 
Back
Top Bottom