Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Feb 28, 2024 #21 Ivan Stepanov said: Sasa si ndio wanapata motisha kwa kutengenezewa Legacy itakayo dumu milele hata wao wakifaa inabak kwamba chuo hiki kilijengwa kwasababu ya watu flan waliofanya mambo flan. Heshima yao na shukran za watanzania zitabaki milele kuwahusu wao Click to expand... Ni sawa na kumwambia mwanasiasa atumie posho zake kwa kwenda kubadilisha umasikini uliopo jimboni mwake.
Ivan Stepanov said: Sasa si ndio wanapata motisha kwa kutengenezewa Legacy itakayo dumu milele hata wao wakifaa inabak kwamba chuo hiki kilijengwa kwasababu ya watu flan waliofanya mambo flan. Heshima yao na shukran za watanzania zitabaki milele kuwahusu wao Click to expand... Ni sawa na kumwambia mwanasiasa atumie posho zake kwa kwenda kubadilisha umasikini uliopo jimboni mwake.
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,799 Reaction score 22,209 Feb 28, 2024 #22 Equation x said: Ni sawa na kumwambia mwanasiasa atumie posho zake kwa kwenda kubadilisha umasikini uliopo jimboni mwake. Click to expand... Ehehehh..hao watu ni mbwaa.
Equation x said: Ni sawa na kumwambia mwanasiasa atumie posho zake kwa kwenda kubadilisha umasikini uliopo jimboni mwake. Click to expand... Ehehehh..hao watu ni mbwaa.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 28, 2024 #23 TOHATO said: Wameunganika INI alafu wametenganishwa???? Hapo nilitamaji pata ufafanuzi zaid manahicho kiungo kukitenganisha sijui kwakweli. Click to expand... Ndio linatenganishwa, na wanaotesha seli sehemu ambapo itahitajika kufanya hivyo...
TOHATO said: Wameunganika INI alafu wametenganishwa???? Hapo nilitamaji pata ufafanuzi zaid manahicho kiungo kukitenganisha sijui kwakweli. Click to expand... Ndio linatenganishwa, na wanaotesha seli sehemu ambapo itahitajika kufanya hivyo...
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Feb 28, 2024 #24 Ivan Stepanov said: Hapa Samia au Kikwete wanaingiaje boss? Au uchawa kama kawaida? Click to expand... Jakaya aliiboresha sana Muhimbili enzi ya utawala wake
Ivan Stepanov said: Hapa Samia au Kikwete wanaingiaje boss? Au uchawa kama kawaida? Click to expand... Jakaya aliiboresha sana Muhimbili enzi ya utawala wake
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,799 Reaction score 22,209 Feb 28, 2024 #25 darcity said: Jakaya aliiboresha sana Muhimbili enzi ya utawala wake Click to expand... Nakubaliana na wewe. Hata uwepo wa Janab Pale MNH ni yeye
darcity said: Jakaya aliiboresha sana Muhimbili enzi ya utawala wake Click to expand... Nakubaliana na wewe. Hata uwepo wa Janab Pale MNH ni yeye