co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Habarini,
Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa.
Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana mababa hata wanne na wote wanatoa matunzo wakiaminishwa kwa hivyo vyeti vya kuzaliwa.
Serikali kupitia RITA napomba mtusaidie katika hili.