Mkuu fikiria out of box,usiangalie ulipo angukia angalia ulipojikwaa, hii ni kielelezo kingine tunaishi in a shithole country, hili lisingewezekana kama serikali ya CCM ingetuwekea systems za kama nchi zingine kuwa mtoto hawezi kutoka hospital baada ya kujifungia bila ya kuwa na birth certificate yenye ID number, hii number ataishi nayo na kufa nayo maana ndio Jina lake alilopewa na serikali, mtoto akizaliwa huku lingusenguse na kuingizwa kwenye systems, ujue ni nchi nzima systems yake itajua,kuanzia home affairs, police, banks, maduka etc etc