nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Kwamba career yangu inadharauliwa adi na watoto?
Nimemaindi sana
Nimemaindi sana
Unafundisha vibaya kiasi kuwa hawana hamu na hiyo fani.Hawawi motivatedkwamba kariaa yangu inadharauliwa adi na watoto? nimemaind sana
Wanayaona maisha yako, pengine hayana nuru, au wewe mwenyewe hauifurahii kazi yako, wanakuona mwaka mzima una kiatu kimoja kilichoisha upande, vaa yako pengine unavaa nguo zilizopitwa na fasheni, hujipendi unafikiri nani atatamani kile anachokifanya?kwamba kariaa yangu inadharauliwa adi na watoto? nimemaind sana
Hapana ni kazi yenye wito ndani yakeUalimu sio kazi ni wito
Watoto wa siku hizi wamevurugwa kuna dogo mmoja wa shule ya msingi ameulizwa akitaka kuwa mkubwa anataka kuwa nani, kajibu yeye ndoto yake ni kuwa mwanakwayaKuna dogo aliulizwa anataka kuwa nani akikua, akajibu anataka kuwa tapeli.
Huwezi jua labda wanataka kuwa chawa,bodaboda, na mawinga!
Bora huyo kuna mmoja kasema anataka kuwa mshangazi.Watoto wa siku hizi wamevurugwa kuna dogo mmoja wa shule ya msingi ameulizwa akitaka kuwa mkubwa anataka kuwa nani, kajibu yeye ndoto yake ni kuwa mwanakwaya
Duh! Mtoto mdogo kashawaza kuchakatwa na kuhonga viben 10, inasikitisha sanaBora huyo kuna mmoja kasema anataka kuwa mshangazi.
[emoji23]
inasikitisha labda hajui maana yake 😀Duh! Mtoto mdogo kashawaza kuchakatwa na kuhonga viben 10, inasikitisha sana
HapanaUalimu sio kazi ni wito
wakija nawapiga bonge la intavyuuHata usihangaike nao miaka kumi mbele watarudi hapo kuomba field
hahahaBora huyo kuna mmoja kasema anataka kuwa mshangazi.
[emoji23]
nimesahauWewe ulikuwa na ndoto za kuwa mwalimu au ulidondokea tu?
duhKuna dogo aliulizwa anataka kuwa nani akikua, akajibu anataka kuwa tapeli.
Huwezi jua labda wanataka kuwa chawa,bodaboda, na mawinga!