Watoto ninaowafundisha hakuna alie na ndoto ya kua mwalimu hi imekaaje?

kwamba kariaa yangu inadharauliwa adi na watoto? nimemaind sana
Wanayaona maisha yako, pengine hayana nuru, au wewe mwenyewe hauifurahii kazi yako, wanakuona mwaka mzima una kiatu kimoja kilichoisha upande, vaa yako pengine unavaa nguo zilizopitwa na fasheni, hujipendi unafikiri nani atatamani kile anachokifanya?
 
Hata usihangaike kuwauliza baada ya miaka michache watakuja shuleni kuomba msaada namna ya kuomba vyuo vya ualimu na huko UE ndo kabisa wanakuaga teachers by default mode
 
Kuna dogo aliulizwa anataka kuwa nani akikua, akajibu anataka kuwa tapeli.

Huwezi jua labda wanataka kuwa chawa,bodaboda, na mawinga!
 
Kuna dogo aliulizwa anataka kuwa nani akikua, akajibu anataka kuwa tapeli.

Huwezi jua labda wanataka kuwa chawa,bodaboda, na mawinga!
Watoto wa siku hizi wamevurugwa kuna dogo mmoja wa shule ya msingi ameulizwa akitaka kuwa mkubwa anataka kuwa nani, kajibu yeye ndoto yake ni kuwa mwanakwaya
 
Watoto wa siku hizi wamevurugwa kuna dogo mmoja wa shule ya msingi ameulizwa akitaka kuwa mkubwa anataka kuwa nani, kajibu yeye ndoto yake ni kuwa mwanakwaya
Bora huyo kuna mmoja kasema anataka kuwa mshangazi.
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…