Watoto niwapeleke wapi leo Eid wakatembee hapa Dar? Nimechoka na Coco Beach

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Eid Mubarak!

Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid.

Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana.

Asanteni
 
Eid Mubarak!

Baada ya kuwanunulia nguo za Eid [emoji2]sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid.

Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana.
Asanteni
Wapelekee kwa mama yangu wakatembee maana nipo mbali
 
Eid Mubarak!

Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid.

Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana.

Asanteni
Funcity
 
Back
Top Bottom