Nobody is neutral in this situation.
Kunyamazia uovu, is not necessarily ndio kuusupport huo uovu, au ni kuwa neutral, unaweza kuunyamazia huo uovu kwa kuamua to remain silent, huku unaupinga uovu huo kimoyomoyo, na wala hausupport!.
Kuna wakati, mtu ukijulikana msimamo wako, unahatarisha hatma yako, hivyo to be on a safe side, its better to remain silent.
Unaposema "wanaokaa kimya haimaanishi wanaunga mkono mauaji" kinyume chake ni kweli wanaunga mkono.
Sio lazima, kuna wengi wanaiunga mkono CCM na wanamkubali sana Rais Samia, lakini hawaungi mkono mauaji, hivyo wameamua kunyamaza.
Mfano Pasco,nikikukuta wewe unapigwa na mtu na sababu ya kupigwa najua kuwa haujafanya kosa lolote la kusababisha wewe kuadhibiwa kwa kipigo..Mimi nikisema "aagh huu ugomvi haunihusu (niko neutral na huu ugomvi)" likikuukuta jambo baya zaidi mfano kifo mimi nitahusika kwa kukaa kwangu kimya bila kufanya jambo lolote la kukutetea.
Si kweli, wewe hautahusika wala hautaadhibiwa kwa kutonisaidia, bali utaumia nafsi yako kwa kushindwa kusaidia, ila kama ungenisaidia ukaokoa maisha yangu nisiuliwe, ungebarikiwa zaidi.
Sijui kwa upande wetu sisi Wakrsto, lakini kwa wenzetu Waislamu, kuna mafunzo kuhusu kunyamazia uovu
1. Ukiona kuna uovu unatendeka, ukiweza kufanya kitu kuuzuia, fanya hicho kitu, uzuie.
2. Ukiona kuna uovu unafanyika, ukajiona huwezi kufanya kitu kuuzuia, lakini ukiupigia kelele, watu wenye uwezo wa kufanya kitu wakasikia, wakauzuia, then piga kelele.
3. Ukiona uovu umefanyika, umekwisha fanyika, huwezi kufanya kitu kuuzuia, then unashariwa kunyamaza kimya!.
Mfano uko kwenye pituitary zako, ukasikia purukushani mtu analia msiniue, msiniua, ukachungulia kupia ufa wa mlangoni, ukawaona watu watatu unawajua, wanamchinja mtu unamjua na wameisha mchinja, mmoja wa wale watatu akasema tusinge mchinja, tungemuacha tuu, pale pale wale wawili pia wakamshika na yeye wakamchinja... vipi wewe utasema umewaona?. Nyamaza yako ndio salama yako.
Ni hivi;
Nilipokaa "KIMYA" katika situation ya kile kipigo chako means nilikuwa upande wa watesi wako automatically.
Not necessarily
Mkuu,
Unapoenda kumpa pole jirani yako baada ya kufiwa si ni kwa sababu ya kuonyesha utu (Ubuntu) kuwa upo nae katika kipindi kigumu anachopitia?
yes ndivyo ilivyo.
Lakini ukweli ni kuwa unaweza kuendelea na mishe zako baada ya kuzika bila hata kwenda kumpa pole mfiwa/jirani na hautakuwa umefanya kosa.
yes naunga mkono hoja
Ndiyo the same way nyie mlivyokaa kimya baada ya ndugu zetu kuuawa kikatili. Ni kweli hamjafanya kosa ilaa...
Usiseme nyie as if CCM wote tulinyamaza, tupo akina sisi tumesema sana, tumepiga sana kelele
Wewe na Mzee MS ni waandshi nguli. Neno lenu linakuwa na punch nzito tofauti na akiandika "mtu yeyote".
Asante kwa hii ila kunifananisha mimi na Alamaa Maalim
Mohamed Said ni umenikuza sana, mimi sistahili hata kufunga gidamu za viatu vyake !
Alafu Pasco,nyuzi zako siku hizi kuanzia kipindi kile cha kampaign Zina harufu ya uchawa!!
Nina uhakika Mimi siyo wa kwanza kukuambia hili.
Ni kweli kabisa, na hii ni kwasababu, tuko kwenye the law of the jungle, survival is only for the fittest!, to be fit, one has to adapt to the changing environments , ameingia mtu amesema anapenda kukunwa, na akatoa onyo ukimpara atakuparura
Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili hii
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa JMT, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, japo alisema mengi, Mimi kubwa lililonigusa ni hili...(nanukuu)
"
Ukinikuna vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza ufuu...ufuu... Lakini "Ukinipara..., Nakuparura!", (mwisho wa kunukuu)....
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.
Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.
Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kumdhania na Rais Samia pia ni rais katili?.
Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili
Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi...
Katika mazingira kama haya hata ungekuwa wewe ungefanyaje?, ila nakushauri kwenye hizo hizo nyuzi za uchawa, zisome kwa miwani ya by focal lens kuna maandishi madogo ya kuufikisha ujumbe ule ule ila imepenyeshewa kwenye uchawa na unamfikia huku unamkuna.
P.