Watoto wa China watembelea makumbusho katika mapumziko ya majira ya joto

Watoto wa China watembelea makumbusho katika mapumziko ya majira ya joto

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Julai 20, wanafunzi na wazazi wao walikuwa wanatazama maonyesho kwenye Jumba la Makumbusho la mji wa Yuncheng mkoani Shanxi, China.

Wakati mapumziko ya majira ya joto yanakuja, Jumba la makumbusho la Yuncheng linawakaribisha wanafunzi na wazazi kulitembelea. Katika majira ya joto, majumba ya makumbusho yemekuwa mahali pazuri kwa watoto kujifunza historia, kuongeza ujuzi, na kuepuka joto.

VCG111392837890.jpg

VCG111392837884.jpg

VCG111392837885.jpg
 
Back
Top Bottom