Watoto wa Cleopa Msuya watinga mahakamani kugombea mali

Hapa shida inaweza isiwe Mali, tatizo ni upare wao, sisi wapare ni watu wa haki na kutopenda kudharaulina na kucompromize,hapo Kuna mmoja kapuuzwa au kadharauliwa ndo wanaoneshana nani ni nani
 
Wanadhalilisha jina la baba yao na mama yao kama yupo.
Kitu au sababu gani inawafanya hawa kutoguwana Mali?! Pasu kwa pasu maisha yaende, hata kama haiwezekani ziuzwe wagawane hela! Kweli kusoma HAKUKUPI BUSARA!
 
Ili kigawanywe 😂😂😂

Ndio Kugombea Mali huko,mshahara haukufanyi kuwa Tajiri.
 
Mzee wako hakuwa tajiri, ndio maana hamna ugomvi wa mali
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
Namfahamu George ingawaje ni miaka mingi sasa.
Na kikazi nilishaona na na mzee Msuya akiwa Waziri wa Fedha.
Kitu cha kusikitisha ni hatua ya kwenga mahakamani.
Iliyakiwa waweke msimamo wa pamoja kabka ya kufungua mirahi.
Kama muhasari wa pamoja haupo, hilo ni pengo kubwa linalo karibisha mfarakano.
 
Daah inasikitisha sana aisee. Na ma CV hayo bado wanapelekana mahakamani? Inawezekana hizi mali zilipatikana kwenye mlango wa uovu. Hapo utashangaa wanagombana na hawazungumzi kisa mali.
 
"Wangekuwa hawajasoma au hawana akili"wewe umejuaje kama wana akili? au kwakuwa wamesoma..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…