Watoto wa English medium wanachezea lugha ya malkia wakati mimi ndo naihitaji huku kazini

Kwa hiyo we wageni wanaokuja kwako ni wanaojua kiingereza tu? Kichina vp? Hili ni tangazo la EMS.
 
Sasa huku kwetu vyote hakuna. Kama watoto hata kusia mbegu tu hawafundishwi, si bora ajue hata English basi
 
Kiingereza kama huwezi huwezi tu mbona mau kitenge kila siku anaenda ulaya lakini hawezi hata kutomba maji Kwa kiingereza?
 
Ni propagdana tena ya kijinga na wanao sifia ni wajinga plus,
Acheni mambo yenu, Mimi nimeona mtu anahojiwa kwenye interview anaongea huku anatoa machozi, yai limekataa kutoka na kazi anaitaka! lugha ni muhimu kuijua kuleta urahisi wa mawasiliano..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…