Watoto wa English medium wanachezea lugha ya malkia wakati mimi ndo naihitaji huku kazini

Watoto wa English medium wanachezea lugha ya malkia wakati mimi ndo naihitaji huku kazini

Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi.

Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya vioo.👀

Kuna wakati nashangaa sana humu wanaotetea kuwapeleka watoto hizi shule za kayumba maana huu ndo mwisho wake anakuja mgeni inakuwa patashika bin tafrani. sasa ukiwa bosi hlf haujimudu ndo balaa zaidi maana wewe hauwezi kujificha lazma utoke huko ndani ukapambane na equals wako, hapo chacha😳lugha gongana.
Kwa hiyo we wageni wanaokuja kwako ni wanaojua kiingereza tu? Kichina vp? Hili ni tangazo la EMS.
 
Vitoto vya Kichina vidogo kabisa viko vina fanya practical viwandani, liona video kule Japani, vitoto vidogo viko kwenye kiwanda cha Magari cha Toyota vijanajifunza, Huku tuna komaa na Lugha, hakuna nchi imepiga hatua za kiuchumi kupitia Lugha na huu ujinga sijui nani anawaaminisha.
Sasa huku kwetu vyote hakuna. Kama watoto hata kusia mbegu tu hawafundishwi, si bora ajue hata English basi
 
Kiingereza kama huwezi huwezi tu mbona mau kitenge kila siku anaenda ulaya lakini hawezi hata kutomba maji Kwa kiingereza?
 
Ni propagdana tena ya kijinga na wanao sifia ni wajinga plus,
Acheni mambo yenu, Mimi nimeona mtu anahojiwa kwenye interview anaongea huku anatoa machozi, yai limekataa kutoka na kazi anaitaka! lugha ni muhimu kuijua kuleta urahisi wa mawasiliano..
 
Back
Top Bottom