Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,749
- 7,945
Leo nimejikuta nimekumbuka maisha ya zamani miaka 80 mpaka mwanzoni wa 2000 kwa wale tuliokulia Ilala.
Jana usiku nimepita Ilala mitaa ya sokoni nikashangaa mabadiliko makubwa niliyoyaona.
Kwa wale wanaijua ilala magorofa yalikuwa yanahesabika ilala. Kulikuwa na gorofa la Kidevu, Mzee Makaranga na Mzee Malapa. Lakini leo hii Ilala imekuwa kama Kariakoo.
Wa Ilala wenzangu tukutane hapa kukumbushana maisha ya enzi hizo. Karibuni