Watoto wa Jah kaya

Watoto wa Jah kaya

alafu useme nakuonea kumbe wengi tumekuona.....usiwe mkali ni kawaida yenu kuwatokea hasa kwa mtu mnaomzimika....na hongera wenzako hali kama hiyo kamwe hawaipati hata sehemu nyingine nyingne.....ila kuna wengine hata wakisikia mlio wa piki piki wanawet......nikawaida uliza jf doctor

Acha zako bhana.....mpaka mlio wa kitukutuku inshu c inshu.
Ila tuongee ukwel Yo yo,picha hiyo unaionaje ukilinganisha na picha za hic karibuni.
R.i.p Bro!
 
Unalianzisha kwangu.....usije ukawa kunguru wewe.
Marehemu alikuwa yupo poa kimuonekano lakin alipojiingiza katika inshu hzo alipoteza hyo nuru.
Unaongelea habar yakuloa....au una hamu tuanzishiane?

hahahahaaaa....!!!. mia
 
tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa

Hahaha umeua mpwa
 
Acha zako bhana.....mpaka mlio wa kitukutuku inshu c inshu.
Ila tuongee ukwel Yo yo,picha hiyo unaionaje ukilinganisha na picha za hic karibuni.
R.i.p Bro!
sasa mie na uhandsome wapi na wapi.......hayo mambo ungemuuliza binti mmoja kala ban angekujibu.....
 
tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa

Mkuu umenichekesha sana hapa mbavu sina ila umemwonea miss strong!
 
Miss strong kasifia kwa nia njema na pia kwenye sifa yake Kuna hoja ya ukweli,tazameni sura za Aisha Madinda,ray c,TID na diof wa twanga kabla hawajaanza ku-sniff na baada,then mtoe maoni,nothing personal or offensive but a merely fact!!!
 
Mkuu uungwana ni vitendo......huu uzi ni wa kwake ili nisiuharibu nilimwambia yaishe ili wengine waendelee kuchangia.
Mabishano mengine hayana tija!
cc Mia
 
cc Mia....,bily....!
 
Hata R.I.P Dr. Remmy walikuwa wanamsifia handsome
 
hapo ndio mademu wa bongo mnaponiacha hoi.....kuwa wet shauri ya mangwea ni kosa.....umeoyesha hisia zako kwa mchizi....not bad.....

Huyo si ndio alibakwa na lecturer au nimewafananisha? hahaha kwa hali hii ndio maana toka siku zile nikaogopa kujifanya kimbele wa kushauri
 
aiseee alibakwaje na lekchara?....... bwahahaha
 
Back
Top Bottom