Watoto wa Jah kaya

Watoto wa Jah kaya

Mkuu uungwana ni vitendo......huu uzi ni wa kwake ili nisiuharibu nilimwambia yaishe ili wengine waendelee kuchangia.
Mabishano mengine hayana tija!
cc Mia....,bily....!

unaongea kweli mkuu. mia
 
mkuu mi nakuheshimu sana ebu tuambie juu ya hili ilikuaje au ni uzushi tu wa kimanzese na keko.

Usijali......!
Mambo madogo hayo,si unajua huu sio uzi wa hayo mambo.
Ni vyema kujadili jambo husika katika uzi husika.
Ila tukumbuke maisha ni mbegu kwahiyo tutavuna kulingana na mbegu gani tumepanda katika maisha.
 
poa mkuu usijali tupo pamoja
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    3.1 KB · Views: 200
  • image.jpg
    image.jpg
    11.5 KB · Views: 111
Back
Top Bottom