miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
alafu useme nakuonea kumbe wengi tumekuona.....usiwe mkali ni kawaida yenu kuwatokea hasa kwa mtu mnaomzimika....na hongera wenzako hali kama hiyo kamwe hawaipati hata sehemu nyingine nyingne.....ila kuna wengine hata wakisikia mlio wa piki piki wanawet......nikawaida uliza jf doctor
una maana Yo Yo ?
Unalianzisha kwangu.....usije ukawa kunguru wewe.
Marehemu alikuwa yupo poa kimuonekano lakin alipojiingiza katika inshu hzo alipoteza hyo nuru.
Unaongelea habar yakuloa....au una hamu tuanzishiane?
tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa
sasa mie na uhandsome wapi na wapi.......hayo mambo ungemuuliza binti mmoja kala ban angekujibu.....Acha zako bhana.....mpaka mlio wa kitukutuku inshu c inshu.
Ila tuongee ukwel Yo yo,picha hiyo unaionaje ukilinganisha na picha za hic karibuni.
R.i.p Bro!
tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa
sasa mie na uhandsome wapi na wapi.......hayo mambo ungemuuliza binti mmoja kala ban angekujibu.....
Ziue Arifu.umejuaje kama mie kaka?
Umeona madhara ya kujipendekeza kwa mapimbi kama huyo!?Ziue Arifu.
Umeona madhara ya kujipendekeza kwa mapimbi kama huyo!?
Miss strong kasifia kwa nia njema na pia kwenye sifa yake Kuna hoja ya ukweli,tazameni sura za Aisha Madinda,ray c,TID na diof wa twanga kabla hawajaanza ku-sniff na baada,then mtoe maoni,nothing personal or offensive but a merely fact!!!

hapo ndio mademu wa bongo mnaponiacha hoi.....kuwa wet shauri ya mangwea ni kosa.....umeoyesha hisia zako kwa mchizi....not bad.....
aiseee alibakwaje na lekchara?....... bwahahaha