Watoto wa Jah kaya

Mkuu uungwana ni vitendo......huu uzi ni wa kwake ili nisiuharibu nilimwambia yaishe ili wengine waendelee kuchangia.
Mabishano mengine hayana tija!
cc Mia....,bily....!

unaongea kweli mkuu. mia
 
mkuu mi nakuheshimu sana ebu tuambie juu ya hili ilikuaje au ni uzushi tu wa kimanzese na keko.

Usijali......!
Mambo madogo hayo,si unajua huu sio uzi wa hayo mambo.
Ni vyema kujadili jambo husika katika uzi husika.
Ila tukumbuke maisha ni mbegu kwahiyo tutavuna kulingana na mbegu gani tumepanda katika maisha.
 
poa mkuu usijali tupo pamoja
 
Duuuh jamaa alikuwa handsome jamani.

tatizo la mashori dizaini yako mkiona mtu ana hela lazima huko chini palowe.....utamsifia kwa kila kitu ilmradi mumteke....shindwa

mmh sasa ngwea wa watu keshajifia hata huko chini pakiloa we ndo utakuja kupakausha.......,
haya ngoa na mimi chini kwangu kulowe "Ngwair was handsome"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…