Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Hao wote hakuna wa kumzidi Zuchu labda uwe na chuki zako....Zuchu hakuna kitu..lafudhi yake ya kimwambao sana hata afikishe views 100m hawezi kufikia anga za V money,Nandy.Maua nk nk
Utani kama utani tulianza kimasikhara.... [emoji442]