Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,194 Reaction score 10,711 Feb 16, 2024 #41 Turnkey said: Zuchu hakuna kitu..lafudhi yake ya kimwambao sana hata afikishe views 100m hawezi kufikia anga za V money,Nandy.Maua nk nk Click to expand... Hao wote hakuna wa kumzidi Zuchu labda uwe na chuki zako.... Utani kama utani tulianza kimasikhara.... [emoji442]
Turnkey said: Zuchu hakuna kitu..lafudhi yake ya kimwambao sana hata afikishe views 100m hawezi kufikia anga za V money,Nandy.Maua nk nk Click to expand... Hao wote hakuna wa kumzidi Zuchu labda uwe na chuki zako.... Utani kama utani tulianza kimasikhara.... [emoji442]
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Feb 17, 2024 #42 Wakipekee said: Hao wote hakuna wa kumzidi Zuchu labda uwe na chuki zako.... Utani kama utani tulianza kimasikhara.... [emoji442] Click to expand... Kwa Zuchu hapa nakubali, zuchu ni pure talent
Wakipekee said: Hao wote hakuna wa kumzidi Zuchu labda uwe na chuki zako.... Utani kama utani tulianza kimasikhara.... [emoji442] Click to expand... Kwa Zuchu hapa nakubali, zuchu ni pure talent
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Feb 17, 2024 #43 Hziyech22 said: Wewe upo team gani? Click to expand... Maskini raia wa Tanzania. Mtasindikiza wenzenu kwa ushabiki maandazi mpaka lini?
Hziyech22 said: Wewe upo team gani? Click to expand... Maskini raia wa Tanzania. Mtasindikiza wenzenu kwa ushabiki maandazi mpaka lini?