Watoto wa Kiafrika ni wabunifu sana

Watoto wa Kiafrika ni wabunifu sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1640222832545.png
 
Tatizo lipo kwenye kubuni injini sasa hapo ndio shughuli pevu. Hayo mabodi tu wanaweza kuchonga hadi ya ndege. Tatizo kuyapulizia pumzi ya uhai ili yawe auto ndio issue.
 
Tatizo lipo kwenye kubuni injini sasa hapo ndio shughuli pevu. Hayo mabodi tu wanaweza kuchonga hadi ya ndege. Tatizo kuyapulizia pumzi ya uhai ili yawe auto ndio issue.

Sema uchumi hauwaruhusu kufanya hayo yote, kinachotutofautisha na ngozi nyeupe ni uchumi. Angekuwa mambele angechukua mkopo bank na kuendeleza ndoto zake. Au wafadhali wangemtunza, sema tatizo wafadhili wetu bado njaa sana wanategemea ufadhili kutoka kwa watu wengine.
Ila hapo ni mwanzo mzuri sana.
 
Tatizo lipo kwenye kubuni injini sasa hapo ndio shughuli pevu. Hayo mabodi tu wanaweza kuchonga hadi ya ndege. Tatizo kuyapulizia pumzi ya uhai ili yawe auto ndio issue.

✔✔✔✔✔💯%

Engine ndio ubunifu hayo mengine ni just decoration.
 
Direct contact with nature it’s important, muulize Mrisho Mpoto.

🤣🤣 if that's the reason he would have walked unclothed in the first place,Muulize Mpoto kwani hatembei bila nguo, nature is all what surrounds us.
 
Back
Top Bottom