Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho.
Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na alichukua ila Kuna wengine ambao hawajapata na yeye amehama tayari. Najua huyu mtoto hakuwa na nia ya kuwazima wenzake ila mazingira yalikuwa restricted.
Ninalowaza ni hili la mtoto wa miaka 12 anaanzaje kuingia kwenye upatu?
Je, upatu unakuza uchumi wa Taifa?
Mabinti na wamama sasa wamekuwa rahisi kwasababu ya michezo. Unaweza kudhani kuwa demu kakupenda sana kumbe ni upatu unamchanganya.
Kataa mke wako kujiingiza kwenye maupatu ya hovyo, mwambie pesa akupe umtunzie mpaka zifike kiasi anachotaka.