CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wahindi ni moja kati ya jamii zenye kiwango kikubwa cha Entreprenership spirt.
Wengine ni kama Waisraeli ambao ndo wenye kiwango kikubwa kabisa cha spirt.
TUWAANGALIE WAHINDI WA HUKU BONGO.
Watoto wa kihindi huandaliwa kuwa wajasiriamali tangu mwanzo wakiwa wadogo kabisa.
KWA NINI NI MADE ENTREPRENEURS?
1. Nfumo wao wa maisha unawafanya wawe wajasiriamali.
- Baba na mama ni wafanya biashara.
- Majirani zao ni wafanya biashara.
- Marafiki zao wote wazazi wao ni wafanya biashara.
- Marafiki wa wazazi wao ni wafanya biashara. Wahindi marafiki zao wote ni wafanya biashara, hawana marafiki wafanya kazi labda wale wanao wasapoti kwa mambo fulani fulani sitayataja humu.
- Wajomba, Mashangazi, Binamu na kadhalika wote ni wafanya biashara.
WHAT DO YOU EXPEXT?
WAKIWA VYUONI.
1. Kozi zao zote ni za mwelekeo wa kibiashara
- Wanasoma sheria
- IT
- uhasibu
- Marketing.
- Procurement.
Hizo ndo kozi zao wanazo soma.
Huwezi wakuta wanasoma kozi zifuatazo.
- Huwezi wakuta wanasoma History au education sijui maendeleo ya jamii au sijui Socilogy na kadhalika.
HIVYO TANGU WAKIWA WADOGO WANAANDALIWA KUWA WAJASIRIAMALI.
Hawa ni Made wanatengenezwa na wanaiva.
HAO NDO WAHINDI
Sent using Jamii Forums mobile app