Watoto wa kihindi ni Made Entrepreneurs

Watoto wa kihindi ni Made Entrepreneurs

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wahindi ni moja kati ya jamii zenye kiwango kikubwa cha Entreprenership spirt.

Wengine ni kama Waisraeli ambao ndo wenye kiwango kikubwa kabisa cha spirt.

TUWAANGALIE WAHINDI WA HUKU BONGO.

Watoto wa kihindi huandaliwa kuwa wajasiriamali tangu mwanzo wakiwa wadogo kabisa.

KWA NINI NI MADE ENTREPRENEURS?

1. Nfumo wao wa maisha unawafanya wawe wajasiriamali.

- Baba na mama ni wafanya biashara.

- Majirani zao ni wafanya biashara.

- Marafiki zao wote wazazi wao ni wafanya biashara.

- Marafiki wa wazazi wao ni wafanya biashara. Wahindi marafiki zao wote ni wafanya biashara, hawana marafiki wafanya kazi labda wale wanao wasapoti kwa mambo fulani fulani sitayataja humu.

- Wajomba, Mashangazi, Binamu na kadhalika wote ni wafanya biashara.

WHAT DO YOU EXPEXT?

WAKIWA VYUONI.

1. Kozi zao zote ni za mwelekeo wa kibiashara
- Wanasoma sheria
- IT
- uhasibu
- Marketing.
- Procurement.

Hizo ndo kozi zao wanazo soma.

Huwezi wakuta wanasoma kozi zifuatazo.
- Huwezi wakuta wanasoma History au education sijui maendeleo ya jamii au sijui Socilogy na kadhalika.

HIVYO TANGU WAKIWA WADOGO WANAANDALIWA KUWA WAJASIRIAMALI.

Hawa ni Made wanatengenezwa na wanaiva.

HAO NDO WAHINDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu. Wahindi njoeni apa

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
mkuu post zako zinahamasisha sana inaonekana sio mtu wa kawaida (kitabu,mafanikio nk.).nimejikuta nimekuwa mfuatiliaji wa mada zako nakutaka kujua story yako ulivyoanza zero mpaka sasa. vijana wengi tumekataa tamaa tunapoona madini kamaa aya tunajiuliza tumekosea wapi.naamini utazidi kutufungua zaidi.
 
Ths is true,though yapasa ujiulize ni wahind wa wap?wa india ama wa tz,..wahind wanakuona tz kama uhamishon,so kila kitu kwao ni faida tuu,..ndomna hawajiwek kwenye vtu vya kutoa services,asome elimu ili iweje,aje atoe service akat ye anaamin ni muhind na sio mtz,pia wahind ni racists,so hawapend jichanganya,pili wao wanaamini ni first class wawapo hapa nchin so kujichanganya na ajira pa1 na low class etc ni ishu kwao.ndomana wanaamin kwenye exchange of goods,na ofcorse mfumo wa exchange of goods ndio mfumo wa haraka wa mafanikio,na sio mfumo wa majority kama kuajiriwana private or serikal,labda uwe fisadi,au upate tuu privelage flan uhongwe au upewe nafas za kisiasa etc,ila hiv hiv tuu,hutoboi
 
Wahindi wote wanefanikiwa? Na huku kufanikiwa ni wanapojuja huku kwetu tu au hata huko kwao wanafanikiwa?

Nakubali kwamba mara nyingi, hauwezi kuwa tofauti sana kitabia au mafanikio na wale watu wa karibu zaidi wanaokuzunguka.
 
Very sound analysis!
 
Unaijua India kama ilivyo USA pia kuna masikini na Matajiri pia. India ina uchumi mkubwa mno. Kwa Asia wao ndo wa tatu baada ya China na Japani na Kwa ulaya wanapigwa fimbo ba Ujerumani na Ufaransa kama sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ths is true,though yapasa ujiulize ni wahind wa wap?wa india ama wa tz,..wahind wanakuona tz kama uhamishon,so kila kitu kwao ni faida tuu,..ndomna hawajiwek kwenye vtu vya kutoa services,asome elimu ili iweje,aje atoe service akat ye anaamin ni muhind na sio mtz,pia wahind ni racists,so hawapend jichanganya,pili wao wanaamini ni first class wawapo hapa nchin so kujichanganya na ajira pa1 na low class etc ni ishu kwao.ndomana wanaamin kwenye exchange of goods,na ofcorse mfumo wa exchange of goods ndio mfumo wa haraka wa mafanikio,na sio mfumo wa majority kama kuajiriwana private or serikal,labda uwe fisadi,au upate tuu privelage flan uhongwe au upewe nafas za kisiasa etc,ila hiv hiv tuu,hutoboi
Hahaa sijazungumziia Ubaguzi hapa hayo mimi simo nazungumzia Ujasiriamali.

Indian wana spirit ya Ujasiruamali bila kujalisha tabia zao zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii research mmeifanyia kwa jamii ya wahindi waliopo hapa Tanzania? tembeeni kidogo duniani mtajua kama mnachoongea ni sahii au la.
 
ahaa wahindi pia wapo wanaosomea kozi nying za afya jamani wanatukimbiza sana muhimbili , kcmc.,kiu, hulbert kairuki, bugando....
 
Back
Top Bottom