Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

Mwanhuzi shule ya msingi. Sitahau asee. Saa nne mapumziko tunaenda kucheza wenyewe walikua wanaita DASO. Jasho linamwagika vibaya mno baada ya muda mnarudi darasani kuendelea na vipindi.
 
Good old days. Mpira ukipigwa juu kip asiporuka goli, akiruka sio goli.
Gombania goli nd nilikuwq naupenda. Tobo bao unacheza huku umebana miguu. Viwanja vngi vilikuwa vinakatisha ktk njia za watu so mtu au gar ikipita mnasimama mpka apte akimaliza tu kandanda linaendelea kama kawa.
Kuna kamtaa watoto walikuwa washenzi sana wakaanzisha "Tobo fira" aiseee it was horrible kupona ukipigwa tobo mpaka ukimbilie kwenu.
Ukipigwa tobo unaswekwa vidole, khaaa kuna mitaa ilikuwa imepinda.
Akija mtu mkubwa kiumbo hata mpo nae darasa moja lazima awe kipa kamw hataki aondoke. Hakuna half time wala nini, mpira unaisha giza likiingia. Kasheshe lipo nyumbani nguo zimechafuka unakula kipondo cha haja, kama umepoteza na viatu utaomba mAlaika mtoa roho akuchukue. Aiseee yapo meng sana ya kukumbuka ni hayo tu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mchezo mzuri Sana'a tena hauna offside....kipindi cha kombe LA dunia tukirudi likizo ...kila mtu anajipa jina LA mchezaji....mi nilikua Etoo....utasikia...ronaldinho...Kaka...Drogba...evra..
 
Km sio KIBAIGWA, hii itakuwa GAIRO
 
hahahahahaa noma sana aisee
 
Mchezo mzuri Sana'a tena hauna offside....kipindi cha kombe LA dunia tukirudi likizo ...kila mtu anajipa jina LA mchezaji....mi nilikua Etoo....utasikia...ronaldinho...Kaka...Drogba...evra..
Mi kipindi hcho watu walipenda niita roberto calosi
 
Siku hizi wamacheza play station ndani.
 
Mimi nilikuwa sikosi namba nilikuwa monitor majina ya wasumbufu na watoro ninayo mfukoni mkizingua tuu napeleka kwa ticha mkali
Mimi nilikuwa nagombaniwa na wale wanaoita kuchagua timu. Nilikuwa sikosi namba!
Good old days, nina kitu cha kukumbuka aisee. Niliinjoi sana kumbe, nilikuwa mtoto na nilikuwa natimiza tu wajibu wangu wa kuwa mtoto kumbe nilikuwa nainjoi sana napojilinganisha na watoto wengi wa sasa.
 
Ulitengwa hahaha
 
Zamani mama zetu walikuwa wanatamani tusitoke nje kabisaa

lakini skuhizi wamama had wanafukuza watoto wao wakacheze nje...

Matoto ya skuhiz hata kisambi hayakijui asee sooo saad......

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha!! Yaani miguuni nina alama kama mwizi kisa hiyo 'chandimu'. Ilikua nisipokuwepo wakati wanapanga vikosi lazima watu watumwe kuja kunichukua. Mpira mnaaza kucheza kuanzia saa 4 asubuhi hadi giza.

Nakumbuka kuna kipindi walimwaga kokoto kwenye barabara tuliokua tunachezea, tuliitana mitaa yote tukaenda kufagia kokote zote tukakiwasha hapohapo..
 
ha ha mimi kazi yangu ilikuwa ni kupitia viatu na kwenda kuuza
 
hahaha acha kaka nlikuwa muoga sana kukaba vijeba kuna siku nililimwa buti kali sana mpaka mguu ukavilia nikaenda kupigwa kisu......yaani tangia wakati huo nlikua muoga "kuingiza mguu" msemo wa chandimu
Aahaha kuna kale kamsemo cha wanasemaga kanyama hahah weebujawah itiwa hako kamsemo ukiwa uwanjani? Yan ukiitwa hv hadi timu yako wanakulima rafu

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…