Good old days. Mpira ukipigwa juu kip asiporuka goli, akiruka sio goli.
Gombania goli nd nilikuwq naupenda. Tobo bao unacheza huku umebana miguu. Viwanja vngi vilikuwa vinakatisha ktk njia za watu so mtu au gar ikipita mnasimama mpka apte akimaliza tu kandanda linaendelea kama kawa.
Kuna kamtaa watoto walikuwa washenzi sana wakaanzisha "Tobo ****" aiseee it was horrible kupona ukipigwa tobo mpaka ukimbilie kwenu.
Ukipigwa tobo unaswekwa vidole, khaaa kuna mitaa ilikuwa imepinda.
Akija mtu mkubwa kiumbo hata mpo nae darasa moja lazima awe kipa kamw hataki aondoke. Hakuna half time wala nini, mpira unaisha giza likiingia. Kasheshe lipo nyumbani nguo zimechafuka unakula kipondo cha haja, kama umepoteza na viatu utaomba mAlaika mtoa roho akuchukue. Aiseee yapo meng sana ya kukumbuka ni hayo tu.[emoji16][emoji16][emoji16]