Bismack
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 387
- 495
sahivi ishalainika kiasi fulaniSasa ishalainika au bado migumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahivi ishalainika kiasi fulaniSasa ishalainika au bado migumu
Ahahahah nakumbuka na sisi tulikuwa tunacheza mpira wa miguu siku moja niliguswa na binti mmoja hivi mguu weee nilikomaa na hivi walikuwa wanatembea kila siku peku mweee sikucheza tena mi zangu ikawa rede tusahivi ishalainika kiasi fulani
Hahahaaa sasa usiombe ukakanyagwa na mtu aliyewahi kuumwa funza. hatariiiiAhahahah nakumbuka na sisi tulikuwa tunacheza mpira wa miguu siku moja niliguswa na binti mmoja hivi mguu weee nilikomaa na hivi walikuwa wanatembea kila siku peku mweee sikucheza tena mi zangu ikawa rede tu
Hakika kabisa mi nilikuwaga hata sijisomeiii yaan ni michezo tu ,mara rede,dama, Ukimwi, yaan ilikuwa balaa
Mabeki walikuwa wananiogopa maana ukinikaba nakudhalilisha na tobo [emoji1]hahahahahaaa unatuzinguaaaa
Haahahah jamanii wanawake tuna raha eeeSasa hivi ndio fainali ila nyie wenzetu mna masponsa. Sie tuliona kubeba kaunta book ni nzito huku kuamka mapema ikiwa kama adhabu, sasa hivi tunaamka kwa lazima na maisha yanatuchezesha kwata.
Njumu ni nini??Ha hahaha kitambo sana 1989 nilikua sipewi nafasi kwa sababu ya njumu zangu nakaa bench hadi siku mtakapo siacha ndo napiga game
Wenzenu wana magame wanachezaKatika vitu ambavyo ninajivunia kwa sasa ni kupitia kwenye maisha hayo,,,,hawa watoto wa sahiz hata wakikua sijui watasimuliana nini yani
Hahah unakuta eti Sabrina anaenda shule na school bus na kurudi nalo then anakua ndani ya geti,,muache Sabrina akacheze madange huko ,akacheze kibaba na kimama ,[emoji12] [emoji12]Wenzenu wana magame wanacheza
Ilikuwa kawaida sanaaKwa hiyo hapo mnaweza cheza 18 kwa 18 si ndio