Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Wa kishua akija na gozi hata kama hajui mpira lazima apangwe.
Ame dochi ,uki dochi ni kosa hilo.Mtu akishika hiyo faulo mkabaji yupo zero distance na chandimu. Kupiga na vidole tuliita dochi
Aisee dochi nilipiga hadi goziAme dochi ,uki dochi ni kosa hilo.
Nimeishi Shinyanga (Karibu na jimbo kuu la RC, na Mtaa wa Ugweto ) Mwaka mmoja na Nusu!Hahahaha naona baadhi ya maneno yanafanana na kisukuma aisee
Unatumwa dukani ila ukikuta wanaume wanasukuma kabumbu unajumuika nao. Mpira ukiisha ndio unazinduka kwamba uliagizwa vitu vya muhimu na wakati huo ni saa moja usiku alafu mchafu haufai.
Utashushiwa kipigo cha mbwa mwizi lakini kesho mambo yako vilevile. Ndio siku hizi nahiuliza au hii tabia ya kuchepuka huku tukijua madhara iliimarishwa kipindi hicho?
Mimi ilinikuta moja . Nilitumwa kumnunulia baba sigara,nilikua na mdogo wangu. Tumeshanunua wakati tunarudi njiani tukakuta kipute ,nikampa vitu dogo avishike ,nikaingia dimbani.
Kumbe baba alikua hata za kuvutia muda,anatusubiri sisi. Mara namuona mama huyu hapa. Dah! Ile dhoruba niliyopata si mchezo. Mimi ndiye mkubws, dogo wala hakupigwa.
Imenikumbusha mbali sana hii saa nne mda wa mapumnziko inapigwa mechi ya kamari kuwekeana biki watakaofugwa goli moja harafu mda wa kuingia darasani umefika mmeshaliwa,kazi inaanza kuazima azima[emoji1]Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.
Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
Na bado haukukoma, kiu ya kabumbu haielezeki. ile hata kama unaumwa umetundikiwa drip, ukiwaona wenzako wanapiga ndimu lazima upone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipati picha mlivyokuwa mnanuka jashoAisee nimecheka nimekumbuka mbali, sisi kwetu tulikuwa kila jumamosi tunacheza mechi kubwa jumamosi hii wanakuja inayofatia tunakwenda ugenini. Tatizo ilikuwa tukifungwa goli nyingi lazima tulianzishe. Basi tulikuwa tunaandaa mbwa, mtaani kwetu karibu kila nyumba ilikuwa ina mbwa. Basi siku ya mechi tunawachukua mbwa tunawaficha kwa kina Crispin nyumba yao ipo karibu na uwanja,basi tukipigwa goli nyingi tunakonyezana mambo yashaharibika tunakwenda kufungulia mbwa tulikuwa tunawafukuza wale wajinga na mbwa wanakimbia wanasahau mpaka ndala. Basi na Sisi tukienda kwao magereza tukifungwa wanatukimbiza balaa lakini cha ajabu tukikutana shuleni jumatatu tunakuwa washikaji story kama kawa na kama kuna mtu alisahau ndala zake tunamwambia njoo jioni uchukue, utoto raha sana.
kweli kabisa....yani wa viatu tulikua tunaogopa kuwakaba sasa sheria ni kuvua woote........!!! sasa hapo mi nilikua navua nabaki na zile soksi zangu za pundamilia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah majamaa waliokuwa wanaibia walikuwa hawakabi wao wansubiri ipigwe mbele wafungemi nilikua naibia kinoma bs nimipiga goli wadau hulalamika tu..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah majamaa waliokuwa wanaibia walikuwa hawakabi wao wansubiri ipigwe mbele wafungemi nilikua naibia kinoma bs nimipiga goli wadau hulalamika tu..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah majamaa waliokuwa wanaibia walikuwa hawakabi wao wansubiri ipigwe mbele wafungemi nilikua naibia kinoma bs nimipiga goli wadau hulalamika tu..