Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

Aaahahah asee hata jembe langu ndmna nimelipeleka shule za st kayumba nalo lije kusimulia watoto wake ase

Wale jamaa zangu cjui wapogo wapi skuhz asee tukikutana lazma tufany party ahahaha
aisee na hyo ni moja ya njia za kuactivate bongo za watoto......ila watu hawajui tu.......kayumba kule kuna mengi ya kujifunza mbali na elimu hii ya kawaida
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahahaaaa ila kuvua shati kulikua na raha yake bhana......mambo yananoga afu inakupa mzuka flan hv
 
Aahaha nilipo anza fm one nikaanza mademu aahaha nikawa sishikiki kila kona A... a....
Yaani ahaha niliburuza watt ile shule kesi juu ya kesi mademu sasa wale TIIS washule hahah wanajiita maspy nikapita nao mademu wawili mmoja akanitajia wenzake wote.
 
nilikuwa na matatizo ya kiafya mkuu,

hivyo ilikuwa vigumu kunikuta nicheza kabumbu,

ila nilikuwa mpenzi mshangiliaji.
Daaaahh pole sana aisee....lkn nadhani utamu wake uliupata japo hata kwa macho tu
 
Huku goli ni za mawe huku wakizubaa unapunguza upana kidogo dah utoto ule raha sana dah
afu washkaji wanakuja kustuka baada ya kukosa goli ndo hapo mnaanza kupimiana upyaaaa........kakibaki kanafasi kadgo mnahesabu na vidole....yn hakuna kupunjana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana! Viatu vimerundikwa pembeni
Ile ndio ulikuwaga staili ya kuweka viatu na mara nyingine viatu vilikuwa vinatumilika kutengenezea goli(mwamba) kwa mafungu mafungu
 
nilikuwa na matatizo ya kiafya mkuu,

hivyo ilikuwa vigumu kunikuta nicheza kabumbu,

ila nilikuwa mpenzi mshangiliaji.

Pole sana Jemedari. Hii kitu ilikua tunaisubiria kengele ya mapumziko kwa vinubi na vinanda. Ikigonga tu, mwendo wa kukamua ndimu.
 
Hicho kinaitwa kipute.
Lazima mshtuane kua twendeni tukakipute. Hatari sana hiyo kitu.mda haurudi nyuma aisee nimekumbuka mbali Sana.
 
Pole sana Jemedari. Hii kitu ilikua tunaisubiria kengele ya mapumziko kwa vinubi na vinanda. Ikigonga tu, mwendo wa kukamua ndimu.
bs bhana ndo hvo jamaa akawa amekosa......bt sio mbaya......nilikua mtaalam sana wa kutengeneza mpira hiyo
 
Mnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usipoitwa hupati namba unakuwa unazuia/kuleta mpira ukitoka nje tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…