hehehehhe,Pole sana Jemedari. Hii kitu ilikua tunaisubiria kengele ya mapumziko kwa vinubi na vinanda. Ikigonga tu, mwendo wa kukamua ndimu.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna ile kukutanisha miguu mpira upo kati inaitwa bambi hatarr Sana, mi ni ke ila nimecheza sana hiyoYani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.
Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
heheheh.Daaaahh pole sana aisee....lkn nadhani utamu wake uliupata japo hata kwa macho tu
Na hapo unakuta ni darasa la 3A vs B then A ni wenye akili miili midogo mnacheza na B wasio na akili but miili mikubwa na warefu A mtakoma duh![emoji51] [emoji51] [emoji23]Hicho kinaitwa kipute.
Lazima mshtuane kua twendeni tukakipute. Hatari sana hiyo kitu.mda haurudi nyuma aisee nimekumbuka mbali Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] nilipiga mguu ukutani badala ya mpira maumivu yake sasa haha enzi za mwl raha sanaHapo pensi umeifungia kamba ya kiatu, mfukoni una goroli mbili, hapo mpira unauliga kwa Ndore/Dole gumba hadi kucha linangoka upaka mchanga habar kwisha.
Fainali ni kutoa njunja/Funza vidolenj
Huhuu ww si ke ulikua unacheza boli?[emoji23][emoji23][emoji23] nilipiga mguu ukutani badala ya mpira maumivu yake sasa haha enzi za mwl raha sana
Ndiyo nimecheza sana hata sasa hivi naweza,nimeacha 2011 nilikuwa nacheza namba 7[emoji23][emoji23]Huhuu ww si ke ulikua unacheza boli?
Mnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
Hamnaa....madogo tu sku hz wanafatilia sana miziki na kina diamond kuliko haya mambo mujarabu kabisaaUnatumwa dukani ila ukikuta wanaume wanasukuma kabumbu unajumuika nao. Mpira ukiisha ndio unazinduka kwamba uliagizwa vitu vya muhimu na wakati huo ni saa moja usiku alafu mchafu haufai.
Utashushiwa kipigo cha mbwa mwizi lakini kesho mambo yako vilevile. Ndio siku hizi nahiuliza au hii tabia ya kuchepuka huku tukijua madhara iliimarishwa kipindi hicho?
Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.
Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
Bambi hyoo......yn ukipigana na mtu hyo afu yeye akapata maumivu wew usipate....bs unajiona jembe na umekomaa vilivo[emoji23][emoji23][emoji23] kuna ile kukutanisha miguu mpira upo kati inaitwa bambi hatarr Sana, mi ni ke ila nimecheza sana hiyo
Hyo ndo ilikua sheria kuu......ukipata mpira mtu wa kwanza kufiria kumpa pasi ni mwenye mpira.....na penati zote anapiga yeyeheheheh.
kweli mkuu ilikuwa noma sana,
aliyefuma mpira ana uwezo wakuamua nani akae nje nani aingie,
inabid uwe rafiki yake tu, usimnyime visheti na ubuyu.
Hyo ndo ilikua sheria kuu......ukipata mpira mtu wa kwanza kufiria kumpa pasi ni mwenye mpira.....na penati zote anapiga yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa ufupi alikuwa ni refa, kiungo, pia kocha.Hyo ndo ilikua sheria kuu......ukipata mpira mtu wa kwanza kufiria kumpa pasi ni mwenye mpira.....na penati zote anapiga yeye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatumwa dukani ila ukikuta wanaume wanasukuma kabumbu unajumuika nao. Mpira ukiisha ndio unazinduka kwamba uliagizwa vitu vya muhimu na wakati huo ni saa moja usiku alafu mchafu haufai.
Utashushiwa kipigo cha mbwa mwizi lakini kesho mambo yako vilevile. Ndio siku hizi nahiuliza au hii tabia ya kuchepuka huku tukijua madhara iliimarishwa kipindi hicho?