Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

hahahahaha....huoni wewe uikuwa afadhali hata ulipata muda wa kurudi nyumbani aisee.

Nikiwa shule ya msingi, mama hakuamini kama tungefaulu kwenda sekondari.

Too many games.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.

Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.

Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
wow, umenirudisha mbaaaaaaaaaaali sana mkuu!
 
yaaah ila inaonesha hukuwa mpenz sana.....ulipata hata mda wa kukopy notes??? watu tumebandika maharage na jiko liko pembeni ya uwanja lkn mpka sufuria inatoboka hatuna habari......kuja kustuka ni pale unaskia bimkubwa anasalimiana na majirani....weeeee..!!!! ndo unaanza kuskia harufu ya maharagwe kuungua
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakuta umeumia ila ili wenzio wakuone shujaa unajifanya umeuchuna huku wanakusifia ukirudi nyumbani sasa na machozi yanakutoka kwa maumivu utoto unamambo mengi yakipuuzi.
hahahahahaaaa haitakiwi wenzio wakuone mchele mchele kabisa....ilikua ni mwiko
 
Mh kondomu!??? hii mpya mkuu...sisi soksi na magorodo ndiyo viliumia. Sijui wazazi waliwezaje kutuvumilia aisee.

Hapa nimejikuta nawaza, kuna watu walikuwa wanajua kufuma mpira aisee...sijui kwanini hawakuwa wanafuma mingi watuuzie.
ooh mkuu basi nyie mmekuja juzi...kizazi chetu sisi ilikua ni kondomu tu....yani ilikua noma sana hyo
 
Juzi??? aisee sidhani kama enzi zangu hata neno kondomu lilikuwa marufuku kutamka. Sijui lakini, huenda mimi wa juzi lakini nimekulia kijijini. Kondomu unaitoa wapi shule ya msingi? Hata sijui kama tulijua kondomu maskini sisi kule Old moshi vijijini...ishu zetu tulimalizia migombani tu!

Eniwei...
 
nakumbuka kiwanja chetu cha mtaa kilichukuliwa na wakubwa kwa mda baada ya uwanja wao mkubwa kuchukuliwa kufanyiwa mikutano ya kidini pande za kawe home,, sasa wakawa wanatunyanyasa kila ikifika saa kumi tu, wanakuja kutufukuza wacheze wao.. tukaunda tume ya kuwaondoa hawa ma bro,, tukakubaliana twende beach tukachukue mbigili za kutosha tukazimwage uwanja mzima mpaka magolini.. tukaenda tukajaza mifuko na mifuko, tukazimwaga usiku zote,,, kimbembe kesho yake, wakubwa wanakuja kucheza hawajatukuta wakaona mtelezo,, sie tumekaa tunawaangali tu,, maana wengine walikua na viatu wengine hawana,, wengine walioanguka wanakutana nazo,, mpira haukuchezeka siku hiyo, wakaanz kutusaka tukazoe miba tuliyoimwaga uwanja mzima. hakuna aliyekubali kama kamwaga mbigili.. na wao ndo ikawa mwisho wao kucheza pale wakahamia uwanja mwengine,, vijana tukarudi tukaanza kuzitoa mojamoja japo hatukuzimaliza,, ila shuhuli nasi ilitupata ya kuchomwa nazo maana hatukuzimaliza,, zilikuja kuisha kwa kutuchoma, unaiokota unaenda kuitupa..
 
Unakuta umeumia ila ili wenzio wakuone shujaa unajifanya umeuchuna huku wanakusifia ukirudi nyumbani sasa na machozi yanakutoka kwa maumivu utoto unamambo mengi yakipuuzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunachanga hela tunanunua Kondomu 70 tunachukua tatu tunafuma! Mpaka zinaisha hapo hsta gozi cha mtoto.. Usipochanga no kucheza na ukiingia kinguvu watu wanasema KINYAMA HICHO basi ukigusa mpira unarukiwa mabuti na rafu za kufa mtu mwisho unarud nje
 
Juzi??? aisee sidhani kama enzi zangu hata neno kondomu lilikuwa marufuku kutamka. Sijui lakini, huenda mimi wa juzi lakini nimekulia kijijini. Kondomu unaitoa wapi shule ya msingi? Hata sijui kama tulijua kondomu maskini sisi kule Old moshi vijijini...ishu zetu tulimalizia migombani tu!

Eniwei...
hahahahaaa mkuu mi mwenyew sku ya kwanza naambiwa mpira umetengenezwa kwa ndomu mwili ulisisimka......lkn mabro zetu ilikua sana sisi ilikua wanafanya kutuazima tu baada ya wao kumaliza kucheza..[emoji23]
 
Juzi??? aisee sidhani kama enzi zangu hata neno kondomu lilikuwa marufuku kutamka. Sijui lakini, huenda mimi wa juzi lakini nimekulia kijijini. Kondomu unaitoa wapi shule ya msingi? Hata sijui kama tulijua kondomu maskini sisi kule Old moshi vijijini...ishu zetu tulimalizia migombani tu!

Eniwei...
Haaaaaa wacha we migombani mhhh
 
nakumbuka kiwanja chetu cha mtaa kilichukuliwa na wakubwa kwa mda baada ya uwanja wao mkubwa kuchukuliwa kufanyiwa mikutano ya kidini pande za kawe home,, sasa wakawa wanatunyanyasa kila ikifika saa kumi tu, wanakuja kutufukuza wacheze wao.. tukaunda tume ya kuwaondoa hawa ma bro,, tukakubaliana twende beach tukachukue mbigili za kutosha tukazimwage uwanja mzima mpaka magolini.. tukaenda tukajaza mifuko na mifuko, tukazimwaga usiku zote,,, kimbembe kesho yake, wakubwa wanakuja kucheza hawajatukuta wakaona mtelezo,, sie tumekaa tunawaangali tu,, maana wengine walikua na viatu wengine hawana,, wengine walioanguka wanakutana nazo,, mpira haukuchezeka siku hiyo, wakaanz kutusaka tukazoe miba tuliyoimwaga uwanja mzima. hakuna aliyekubali kama kamwaga mbigili.. na wao ndo ikawa mwisho wao kucheza pale wakahamia uwanja mwengine,, vijana tukarudi tukaanza kuzitoa mojamoja japo hatukuzimaliza,, ila shuhuli nasi ilitupata ya kuchomwa nazo maana hatukuzimaliza,, zilikuja kuisha kwa kutuchoma, unaiokota unaenda kuitupa..
hahahahahahahahaaaa hzo akili mlizipeleka wapi ili muwatoe na baadhi ya watu wanatuharibia nchi[emoji16]
 
Kuna tabia tulikuwa tunagombanishwa hasa na majamaa ambao ni wakubwa kuliko sisi.

Tunagombanishwa watoto tunaolingana umri au kukaribiana.

Mmoja anaambiwa mtukane fulani, halafu huyo uliyemtukana anachochewa na kuambiwa eti unatukanwa na fulani, unamuogopa nini kwani anaweza kukufanya nini, mpige.

Hapo mnajazwa upepo halafu mnaanza kuzipiga ngumi mwishowe mnatoka manundu kwa kuumizana halafu mkitaka kulia mnasifiwa hadi mnajikuta hamlii japo mnaumia kwa maumivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiki cheo nilikitumia kwa uaminfu mkuu..kuna siku nimeingia sculi j3 kaptula imejaa mafuta ya maandazi weekend ckufua....nikamwita RAIA mmoja nkamwambia anipe ya kwake alaf namfuta jina LA wasumbufu. Axee mstarini kwenye ukaguzi alichapwa za kutosha mwili mzima mtaalamu nimetulia tuu
 
Tunachanga hela tunanunua Kondomu 70 tunachukua tatu tunafuma! Mpaka zinaisha hapo hsta gozi cha mtoto.. Usipochanga no kucheza na ukiingia kinguvu watu wanasema KINYAMA HICHO basi ukigusa mpira unarukiwa mabuti na rafu za kufa mtu mwisho unarud nje
sawa kabisa muhenga mwenzangu
 
Back
Top Bottom