Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wow, umenirudisha mbaaaaaaaaaaali sana mkuu!Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.
Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
Unakuta umeumia ila ili wenzio wakuone shujaa unajifanya umeuchuna huku wanakusifia ukirudi nyumbani sasa na machozi yanakutoka kwa maumivu utoto unamambo mengi yakipuuzi.Bambi hyoo......yn ukipigana na mtu hyo afu yeye akapata maumivu wew usipate....bs unajiona jembe na umekomaa vilivo
[emoji23][emoji23][emoji23]yaaah ila inaonesha hukuwa mpenz sana.....ulipata hata mda wa kukopy notes??? watu tumebandika maharage na jiko liko pembeni ya uwanja lkn mpka sufuria inatoboka hatuna habari......kuja kustuka ni pale unaskia bimkubwa anasalimiana na majirani....weeeee..!!!! ndo unaanza kuskia harufu ya maharagwe kuungua
hahahahahaaaa haitakiwi wenzio wakuone mchele mchele kabisa....ilikua ni mwikoUnakuta umeumia ila ili wenzio wakuone shujaa unajifanya umeuchuna huku wanakusifia ukirudi nyumbani sasa na machozi yanakutoka kwa maumivu utoto unamambo mengi yakipuuzi.
ooh mkuu basi nyie mmekuja juzi...kizazi chetu sisi ilikua ni kondomu tu....yani ilikua noma sana hyoMh kondomu!??? hii mpya mkuu...sisi soksi na magorodo ndiyo viliumia. Sijui wazazi waliwezaje kutuvumilia aisee.
Hapa nimejikuta nawaza, kuna watu walikuwa wanajua kufuma mpira aisee...sijui kwanini hawakuwa wanafuma mingi watuuzie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu leo tunashangaa ufisadi Tanzania hahah....
ooh mkuu basi nyie mmekuja juzi...kizazi chetu sisi ilikua ni kondomu tu....yani ilikua noma sana hyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakuta umeumia ila ili wenzio wakuone shujaa unajifanya umeuchuna huku wanakusifia ukirudi nyumbani sasa na machozi yanakutoka kwa maumivu utoto unamambo mengi yakipuuzi.
Tena si kwa kazi hiyo tu tulikuwa pia tunajaza maji litre 20 inajaa condom kwenye bomba za shule tulosoma za kayumbaooh mkuu basi nyie mmekuja juzi...kizazi chetu sisi ilikua ni kondomu tu....yani ilikua noma sana hyo
hahahahaaa mkuu mi mwenyew sku ya kwanza naambiwa mpira umetengenezwa kwa ndomu mwili ulisisimka......lkn mabro zetu ilikua sana sisi ilikua wanafanya kutuazima tu baada ya wao kumaliza kucheza..[emoji23]Juzi??? aisee sidhani kama enzi zangu hata neno kondomu lilikuwa marufuku kutamka. Sijui lakini, huenda mimi wa juzi lakini nimekulia kijijini. Kondomu unaitoa wapi shule ya msingi? Hata sijui kama tulijua kondomu maskini sisi kule Old moshi vijijini...ishu zetu tulimalizia migombani tu!
Eniwei...
Haaaaaa wacha we migombani mhhhJuzi??? aisee sidhani kama enzi zangu hata neno kondomu lilikuwa marufuku kutamka. Sijui lakini, huenda mimi wa juzi lakini nimekulia kijijini. Kondomu unaitoa wapi shule ya msingi? Hata sijui kama tulijua kondomu maskini sisi kule Old moshi vijijini...ishu zetu tulimalizia migombani tu!
Eniwei...
hahahahahahahahaaaa hzo akili mlizipeleka wapi ili muwatoe na baadhi ya watu wanatuharibia nchi[emoji16]nakumbuka kiwanja chetu cha mtaa kilichukuliwa na wakubwa kwa mda baada ya uwanja wao mkubwa kuchukuliwa kufanyiwa mikutano ya kidini pande za kawe home,, sasa wakawa wanatunyanyasa kila ikifika saa kumi tu, wanakuja kutufukuza wacheze wao.. tukaunda tume ya kuwaondoa hawa ma bro,, tukakubaliana twende beach tukachukue mbigili za kutosha tukazimwage uwanja mzima mpaka magolini.. tukaenda tukajaza mifuko na mifuko, tukazimwaga usiku zote,,, kimbembe kesho yake, wakubwa wanakuja kucheza hawajatukuta wakaona mtelezo,, sie tumekaa tunawaangali tu,, maana wengine walikua na viatu wengine hawana,, wengine walioanguka wanakutana nazo,, mpira haukuchezeka siku hiyo, wakaanz kutusaka tukazoe miba tuliyoimwaga uwanja mzima. hakuna aliyekubali kama kamwaga mbigili.. na wao ndo ikawa mwisho wao kucheza pale wakahamia uwanja mwengine,, vijana tukarudi tukaanza kuzitoa mojamoja japo hatukuzimaliza,, ila shuhuli nasi ilitupata ya kuchomwa nazo maana hatukuzimaliza,, zilikuja kuisha kwa kutuchoma, unaiokota unaenda kuitupa..
sawa kabisa muhenga mwenzanguTunachanga hela tunanunua Kondomu 70 tunachukua tatu tunafuma! Mpaka zinaisha hapo hsta gozi cha mtoto.. Usipochanga no kucheza na ukiingia kinguvu watu wanasema KINYAMA HICHO basi ukigusa mpira unarukiwa mabuti na rafu za kufa mtu mwisho unarud nje