Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,058
Muhenga!!! Da'Vinci:eti Kelli ww muhengasawa kabisa muhenga mwenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhenga!!! Da'Vinci:eti Kelli ww muhengasawa kabisa muhenga mwenzangu
Mm muhenga zaiMuhenga!!! Da'Vinci:eti Kelli ww muhenga
Hatarr ila kipindi hicho hata ukilowa hakuna wowowo La kuangalia maana du umekazia kuloa chakachakayaaah bs unakuta mmejaa hapo na mmeloa chaka chaka
Kweli mkuu yaan nikiwaona wanangu wanacheza nataman nicheze namm 😀😀😀sawa kabisa muhenga mwenzangu
Aaa sana na mm naonaMm muhenga zai
Hakuna mchezo ambao sijacheza utotoni aisee...Hatarr ila kipindi hicho hata ukilowa hakuna wowowo La kuangalia maana du umekazia kuloa chakachaka
Hahahaahaaaa.Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
Unaingia kwani tatizo nn mi mwenyewe nikikuta lede siku hizi naingia na umama wote nauweka pembeni ule mpira wa wasichana mnafumia soksi za shule usipotoa soksi haucheziKweli mkuu yaan nikiwaona wanangu wanacheza nataman nicheze namm 😀😀😀
Ndevu had kama steel wireAaa sana na mm naona
Sisi kushika ilikua ukata wa nyumba ya mwalimu kama umbali wa viwanja viwili, kama huna mbio wafwaHahahaahaaaa.
Hii tobo nilimuotea jamaa, kipindi hicho tupo darasa la pili muda wa mapumziko saa nne.
Tulikuwa tunasimika kijiti chini ili mtu anakipige halafu akimbie akashike ama shina la mti ulio umbali fulani huku tukiwa tunamfukuza kumshushie kichambo cha ngumi.
Mimi nilikuwa karibu na tobo ilipo na wenzangu pia, walikuwepo, sasa jamaa akapoga tobo bahati nzuri wakati anaanza kukimbia akapita karibu na mimi, nikaachia ngumi tumbo kwake jamaa aliumia akasimama hapo hapo hakuweza kukimbia tena kwa maumivu.
Mimi hmbaada ya kuona hivyo nilitetemeka sana na kuhofia kuja kunipiga baadae maana alikuwa ananizidi, ila washkaji wakaja kunitetea sikupigwa na huyo jamaa.
Kuanzia hiyo siku nikawa muoga kushiriki mchezo wa tobo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndevu had kama steel wire
Mamdogo na shost zake ndio ilikua zao kucheza lede basi mm sikai mbali ili nione vichupi 😀🙁🙂🙂Unaingia kwani tatizo nn mi mwenyewe nikikuta lede siku hizi naingia na umama wote nauweka pembeni ule mpira wa wasichana mnafumia soksi za shule usipotoa soksi hauchezi
Haaaaaa wacha we migombani mhhh
Tena kwa usawa huu watajiita watoto wa Kichuya! 😀😀Hii concept ya "watoto wa kishua" ni udogoni tuu wakiwa wakubwa wanakutana na taabu za dunia kama wengine na kuifuta historia yao ya nyuma