Habari wadau.
Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s.
Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua.
Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini.
Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu.
Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma shule zao za kishua
Shaaban robert, mzizima, st marys, hao ndio walikuwa vijana wanaotingisha jiji la dar es salaam.
Zama hizi naona watoto wa uswazi wamepindua meza. Thanks to Bongo fleva industry, social media na internet .
Diamond plutnumz
Millard ayo
Hamisa mobetto
Harmonize
Rayvanny
Na wengineo wengi.. wamebadili game la utawala wa vijana wa kisasa.
Nowdays vijana wanaotawala jiji ni watoto waliokulia uswazi tu.
Kila zama na wakati wake