Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
Apr 10, 2026
Mikocheni,
Dar es Salaam, Tanzania

WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA"


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w
Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero (1951-2025) mwenyeji wa kutoka kijiji cha Kowak Rorya - Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, mwenye makazi yake jijini Dar es Salaam ambapo watoto wake wanapitia changamoto kuhusu mali za marehemu baba yao mzee Gordon Odhiambo Odiero na kuomba msaada wa serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia mkuu wa mkoa RC Albert Chalamila.

Kampuni ya mabaunsa wanaodai kutumwa kazi ya kuhamisha watu kutoka nyumba hiyo iliyopo eneo la Mikocheni na mtu mwenye hati ya umiliki waliyemtaja kwa jina moja la Bi. Fauzia

Mawakili wameongea na waandishi kuhusu mgogoro huo wa madai ya umiliki katika Mtaa wa Chuvikiwa, Mikocheni B jijini Dar es Salaam ukihusisha nyumba namba 401 iliyopo Plot Namba 12 na wote kusisitiza haki za wateja wao zizingatiwe
 
TOKA MAKTABA

November 26, 2025
Kanisa Anglican Mwenge
Jijini Dar es Salaam

IBADA YA JIONI NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO​



View: https://m.youtube.com/watch?v=FtL24OniXcs

Baadaye mwili wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero ulisafirishwa na alizikwa katika kijiji cha Kowak Rorya-Tarime baada ya misa katika dayosi ya Rorya kijijini Kowak katika misa iliyohudhuriwa na wanae Johnson, Norah, Abraham na wajukuu pamoja na ndugu na jamaa marafiki wengi waliousindikiza mwili kutoka Dar es Salaam.

MAZISHI TARIME - RORYA KOWAK

View: https://m.youtube.com/watch?v=J5ePxmyxAzs
 
1775853405112.jpeg
 
Apr 10, 2026
Mikocheni,
Dar es Salaam, Tanzania

WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA"


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w
Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero (1951-2025) mwenyeji wa kutoka kijiji cha Kowak Rorya - Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, mwenye makazi yake jijini Dar es Salaam ambapo watoto wake wanapitia changamoto kuhusu mali za marehemu baba yao mzee Gordon Odhiambo Odiero na kuomba msaada wa serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia mkuu wa mkoa RC Albert Chalamila.

Kampuni ya mabaunsa wanaodai kutumwa kazi ya kuhamisha watu kutoka nyumba hiyo iliyopo eneo la Mikocheni na mtu mwenye hati ya umiliki waliyemtaja kwa jina moja la Bi. Fauzia

Kwa nini Bi Fauzia awe na hati halisi za kiwanja hicho ? Kuna michezo wazee hawa hucheza siku za utu uzima wao watoto hawajui.....tumpate Bi Fauzia tuweze balance story..
 
Kwa nini Bi Fauzia awe na hati halisi za kiwanja hicho ? Kuna michezo wazee hawa hucheza siku za utu uzima wao watoto hawajui.....tumpate Bi Fauzia tuweze balance story..

Mzee Gordon Odhiambo Odiero alikuwa mtu wa kanisa kwa sana hadi kutunikiwa cheo cha layman canon wa kanisa la Anglican alilokuwa anasali kama muumini mwaminifu pale Mwenge DSM na pia huko kijijini kwao Tarime akienda likizo.

Ila kama ulivyosema, RC Albert Chalamila ndiyo eneo lake la kujiongezea sifa za utendaji kazi, ongezeko la kutatua migogoro hivyo lazima atatinga na pengine tutajua upande mwingine na kupata full story ya saga hili la nyumba ya ghorofa Mikocheni Dar es Salaam
 
TAFAKURI PANA
Kesi au migogoro, madai n.k za aina hizi huwa zinatufumbua macho kuhusu kujiuliza kwa kina masuala ya umiliki, mikataba, nini kifanyike, masharti, vigezo, kanuni, sheria za ardhi, tozo za ardhi za halmashauri / manispaa, kodi ya ardhi n.k WanaJamiiForums Greatthinkers kila siku tunajifuza

TOKA MAKTABA :
Aprili 4, 2026

Lawyer Omari Explains the Hidden Danger of Expiring Land Leases

View: https://m.youtube.com/watch?v=4AY_GnLouYc
As we celebrate Good Friday and Easter Monday, Court Helicopter wishes you a blessed Easter holiday.

In this insightful session, Wakili Danstan Omari breaks down an important but often overlooked issue in land ownership—leasehold property in Kenya.

Many urban landowners hold leases rather than absolute ownership, and under the 2010 Constitution, most leases run for 99 years. But do you check how much time is left before buying land?

You might unknowingly purchase property with only a few years remaining on the lease, putting your investment at serious risk.

This video explains how lease renewal works under the Land Extension and Renewal of Leases Rules, Legal Notice No. 281 of 2017 (amended in 2022).

Learn the steps required to apply for renewal, why paying land rates and land rent is critical, and the consequences of failing to comply—including possible loss or demolition of your property.

Whether you’ve inherited land or plan to buy, this is essential knowledge to protect your investment. Stay informed, stay compliant, and secure your future.
Source : Helicopter court
 
TAFAKURI PANA

Nje ya box na mbali kabisa ya mgogoro husika wa Mikocheni, tafakuri pana zinakuja kwetu wanaJamiiForums kuhusu masuala ya ardhi iwe ununuzi, umiliki n.k

TOKA MAKTABA :

March 29, 2026
Even With a Title Deed You Can still Lose Your Land — Lawyer Omari Explains Why

View: https://m.youtube.com/watch?v=fnQLSSSzFJo
In this episode of Court Helicopter Explains, we tackle one of the most pressing questions about land ownership in Kenya: Can a title deed be revoked even if you bought land in good faith?

We break down the landmark Supreme Court case Dinner Management Ltd vs County Government of Mombasa & 5 Others (2023), which clarified that a title deed is not absolute proof of ownership if the acquisition was illegal or irregular.

From tainted government land to fraudulent transfers, we explain why relying solely on a land search is not enough to protect your investment.

We also walk you through essential due diligence steps to safeguard your property, including historical title verification, survey checks, encumbrances, community interests, succession issues, and legal compliance.

Whether you’re buying government, private, or agricultural land, this guide equips you with the knowledge to avoid losing your land to legal disputes.


Learn how to move beyond the land registry search and protect your ownership the right way

TOKA MAKTABA :

30,023Views
Dec 122025


Why Most Kenyans Lose Land: No Stamp Duty, Wrong Witnesses & Fake Agreements.

View: https://m.youtube.com/watch?v=I74Q3DCK0JI
Episode 2: Lawyer Danstan Omari takes us through the complete legal process of transferring and selling land in Kenya from verifying ownership on Ardhisasa to drafting a proper sale agreement and completing registration at the Lands Office.

The episode explains all required documents, why each party must have their own advocate, and the strict signing rules before an advocate or commissioner for oaths.

It also unpacks verification under Section 45 and the mandatory payment of stamp duty under Section 46 before any transfer is accepted.

In clear, simple language, the explainer guides viewers step-by-step on how to legally transfer land while safeguarding both buyers and sellers from fraud and invalid transactions
Source : Court Helicopter
 
Maswali mengi nje na mbali kabisa ya mgogoro wa Mikocheni uliotajwa katika uzi huu.

Nini zaidi tunaweza kujiuliza kutaka kujifunza masuala haya ?

TOKA MAKTABA :

NJE YA BOX
Diapora na GenZ ambao hatufuatilii mambo mpaka yatukute, je tukimuweka mtu, rafiki, jirani, mjomba n.k 'atutunzie' nyumba au kiwanja, je nini madhara yake ?

19,695Views
9 January 2026

Lawyer Omari Explains How You Can Lose Your Land to a Squatter by Adverse Possession

View: https://m.youtube.com/watch?v=qc_8JU5RPG4

Can someone legally take your land without buying it?

In this episode of Court Helicopter Explainer, Lawyer Danstan Omari break down the law on adverse possession under Kenya’s Limitation of Actions Act, explaining how landowners can lose property after 12 years of uninterrupted occupation.

We unpack key legal sections, recent Court of Appeal guidance, real-life examples, and practical steps investors, families, and diaspora landowners must take to protect their land.
Source : Source : Court Helicopter
 
TAFAKURI PANA

*Nje ya mgogoro huu na mbali kabisa ya yanayoendelea Mikocheni.

Je mamlaka ya Msajili / Kamishna wa ardhi( land registrars) ni yepi ?
Pale wizarani, kanda, mkoa wasajili wa ardhi na samasi zao zilivyo na nguvu kisheria kuhusu masuala ya ardhi .....

455Likes
22,921Views
13 Dec2025

Your Title Deed Can Be Transferred Without Your knowledge and How to Avoid it

View: https://m.youtube.com/watch?v=v4hLuG0r55k
Advocate Danstan Omari breaks down the wide-ranging powers of Kenya’s land registrars under Section 14 of the Land Registration Act (Chapter 300).

He explains how registrars can demand documents, summon individuals, refuse registrations, require oaths, and impose costs during land investigations.

Wakili Omari also highlights the role of government surveyors, the importance of cadastral maps, and warns buyers especially in the diaspora—against purchasing land that lacks proper survey and registration.

This episode guides the public on how land administration works and how to avoid fraudulent land dealings
Source : Source : Court Helicopter
 
March 29, 2026
Even With a Title Deed You Can still Lose Your Land — Lawyer Omari Explains Why

View: https://m.youtube.com/watch?v=fnQLSSSzFJo

16 May 2026
Mahakama Kuu ya Tanzania
Dar es Salaam, Tanzania

MJANE ALIYETIMULIWA NA RC ALBERT CHALAMILA AKIMBILIA MAHAKAMANI KUU, UAMUZI MEI 29, 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=JokIMPZ34E4
Bi. EverlinChiomba wa 317 Regent Estate Mikocheni, Dar es Salaam Tanzania ameweza kuweka kuzui mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya amri ya mkuu wa mkoa wa DSM RC Albert Chalamila

TOKA MAKTABA :
May 6, 2026
317 Regent Estate
Mikocheni, Dar es Salaam
Tanzania

RC CHALAMILA AMALIZA MGOGORO wa NYUMBA DAR - AMTAKA BIBI HUYU AONDOKE AMPISHE MMILIKI...


View: https://m.youtube.com/watch?v=LjGYbxUqLaE
MKuu wa mkoa wa Dar es Salaam, RC Albert Chalamila, amehitimisha mgogoro wa nyumba iliyopo eneo la Mikocheni, kiwanja namba 317 Regent Estate, jijini Dar es Salaam.

Ambapo RC Albert Chalamila amesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka zilizopo, nyumba hiyo ni mali ya Godifrey Shuma na Carista Shuma.

Aidha, amemtaka Bi Everlin Chiomba, aliyekuwa akiishi hapo akidai nyumba hiyo ni mali yake aliyorithi kutoka kwa marehemu mumewe Chiomba, kuondoka kwenye nyumba hiyo ndani ya muda wa saa moja na nusu.

Akizungumza katika mtaa wa Regent, eneo la Mikocheni, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, mkuu wa mkoa RC Albert Chalamila amesema Godifrey Shuma na Carista Shuma ndio wamiliki halali wa nyumba hiyo kwa mujibu wa maelekezo ya mahakama na nyaraka zilizopo.

Hivyo, amemtaka mkuu wa wilaya ya Kinondoni pamoja na RPC wa Kinondoni kusimamia zoezi hilo ili mwenye haki akabidhiwe nyumba hiyo, huku akimtaka Bi Everlin Chiomba kurejea mahakamani endapo hataridhika na maamuzi hayo.

NJUU-WA-MKOA-2.jpg


RC Albert Chalamila ameongeza kuwa yupo tayari kumsaidia Bi Everlin Chiomba kurejea mahakamani ili kupata ufafanuzi zaidi na ushauri wa kitaalamu.

Hata hivyo RC Albert Chalamila, amesema kwa mujibu wa nyaraka zilizopo, mmiliki halali ni Godifrey Shuma na Carista Shuma. Pia ameitaka Ofisi ya Ardhi na Mahakama kumsaidia kumaliza kitendawili cha binti aliyejitokeza akidai kuwa ni mtoto wa marehemu Chiomba, aliyekuwa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo.

Inadaiwa mtoto huyo anatumia majina mawili tofauti, Flora Chiomba na Flora Mwashaa.

Aidha, kabla ya uamuzi huo, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliunda kamati ya kufuatilia suala hilo. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya mgogoro, Mbaraka Forogo, alipowasilisha taarifa yake alisema kamati imejiridhisha kuwa nyumba hiyo iliuzwa na kwamba Godifrey Shuma ndiye mwenye hati miliki ya sasa.

Vilevile, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Saad Mtambule, amekemea kitendo kilichofanywa na mtoto anayedai ni wa marehemu Chiomba, Bi Flora, kwa kuleta mabaunsa kufanya fujo, wakati tayari matumizi ya mabaunsa yalishapigwa marufuku.

Kwa upande wake, Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando, ameeleza kuwa Godifrey Shuma na Carista Shuma ndio wamiliki halali wa nyumba hiyo kwa mujibu wa nyaraka
 
Back
Top Bottom