Watoto wa maskini waende wapi kuenjoy?

Watoto wa maskini waende wapi kuenjoy?

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Jana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa ukitaka Unaenda kupaki kwake na Kama hutaki utajua mwenyewe, kakae na pikipiki yako

Kama ni takwa la kisheria kuchukua pesa ya parking ya boda sawa siwezi kupinga, Ila ka janjajanja si sawa
 
Nilisikia Hilo eneo kauziwa mwarabu na kuanza kuwakodishia wazawa.awamu hii inapenda sana madalali wa uwekezeji.
 
Jana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa ukitaka Unaenda kupaki kwake na Kama hutaki utajua mwenyewe, kakae na pikipiki yako

Kama ni takwa la kisheria kuchukua pesa ya parking ya boda sawa siwezi kupinga, Ila ka janjajanja si sawa
Rudi kwenu umaskini siyo sifa
 
Majuzi hapa waliambiwa wakakae juu ya maflyover Buguruni na kwingineko
 
CCM walishamuua Magufuli ili kufanya maovu yao, usikute ni viongozi ndiyo wamejichukulia hiyo beach wakitoza wananchi wao hela za viingilio
 
WAMLETEE MWARABU TU TUINGIEE NA KIINGILIOO MAANA HADI WA MBAGARA CHAMAZI MNASHINDANA NAOO UTI KWENYE MAJI...KULE USIPELEKE MTOTO MKUU AKUFAI
 
Back
Top Bottom