Rudi kwenu umaskini siyo sifaJana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa ukitaka Unaenda kupaki kwake na Kama hutaki utajua mwenyewe, kakae na pikipiki yako
Kama ni takwa la kisheria kuchukua pesa ya parking ya boda sawa siwezi kupinga, Ila ka janjajanja si sawa
Majuzi hapa waliambiwa wakakae juu ya maflyover Buguruni na kwinginekoJana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa ukitaka Unaenda kupaki kwake na Kama hutaki utajua mwenyewe, kakae na pikipiki yako
Kama ni takwa la kisheria kuchukua pesa ya parking ya boda sawa siwezi kupinga, Ila ka janjajanja si sawa