Watoto wa matajiri wengi ni wapweke. Ni rahisi kuwa nao kama Marafii/Wapenzi

Watoto wa matajiri wengi ni wapweke. Ni rahisi kuwa nao kama Marafii/Wapenzi

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Muhimu: Nimesema wengi sio wote

Ni kutokana na maisha waliyoyaishi

Akitoka shuleni, nyumbani hakuna kutoka (geti kali), ni kiangalia katuni na kufanya homework

Shule zao darasani unakuta watu 20 tu, hapo sana sana anaweza kuwa na mabesti wawili tu.

Na mambo mengine kadha na kadha.

Hiki kitu huwafanya wengi kukulia kwenye upweke.

Binafsi nakumbuka rafiki yangu moja ni besti ila leo hii tukigombana sijui hata atachati na nani maana asilimia 70 ya mawasiliano yake ni kwangu.

Pia nmetoka na watoto wa kishua wa kike haikuwa ngumu kabisa
 
Kuna dogo mmoja mtoto wa binlusm Kama sikosei... Dogo anatumia hela ovyo utadhani wanabustani ya hela home.

Kuna siku nilikuwa naye kawe, restaurant moja pia Kuna vinywaji, dogo kakaa masaa 2 katumia bili ya laki 4 na 20.
Wakati wakulugwa wenzangu alitumia 70k kimakosa Sana mbka home ilimpata.
 
hivi hizi K za wakishua ni sawa na hizi za akina Amina ndala ndefu...wa huku mitaani.!?
 
Za hao wakishua hazina lolote bali taabu tupu. Mara Ooh nikichelewa naenda uuliwa mara Oooh sitarudia tena. Amina akiisha ivua pichu ni mpaka umvike na umtoe kwa nguvu gheto
hahhahaha
 
Back
Top Bottom