Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa namna moja au nyingine maisha hayo yamekuathiri au yalikuathiri vipi ku socualizeDaah kuna kipindi kabla mdingi hajafariki, tulikuwa tunaishi upanga. Geti kali kinoma, yaah kucheza na wenzetu hadi jmoc au jpili siku ambazo hatukuwa tukienda xul tena hapo tulikuwa tunaenda Viwanja vya Gymkhana. Maisha yale sitaki wanangu wayaishi
HahahahaHapa ngoja tusubiri mrejesho kutoka kwa masaki, obey, njiro na soweto, sisi wa kwatumbo wacha tusome comment
haya tumekusikiaLabda matajiri wa Mbagala kwenu huko. Tajiri gani anaishi kujibana kwe nye ma-gate? Tajiri wa kweli anaishi kwa Farm Estate mbali na mji, watoto wake wanafanya mambo kwa ratiba kuogelea haya, kubembea haya, farasi haya wailing wall haya! Disco wanacheza na wenzao watoto wa wenye madaraka na mapesaDuniani km nilivokuwa na binti wa Mariam salim ahmed salim Nairobi likizo. U busy ule atakuta ghafla amemaliza shule anaanza kazi. Hao ni matajiri wa vihepe!
mwisho wa siku wakishua ni wachache na wa uswazi ni wengi hivyo wa jishua anakuwa na circle ndogo sana, Binafsi marafiki zangu baadhi wamesoma hizi shule za matajiri hata shuleni marafiki walikuwa wachache sana kwasababu daeasani unakuta wapo 20 tu, Kwenye profiles za instagram unakuta followers hawazidi hata 100 ila ukija kwetu sasa followers hata tuliosoma nao tu shule ya msingi wengi.Nadhani upweke unatokana na kuogopana,wakishua anamuogopa wa uswazi na wa uswazi anakua anamuogopa wakishua,kila mmoja anamuona mwenzake sio level yake,ila mkisha zoweana inakua kawaida tu.
HahahaKuna dogo mmoja mtoto wa binlusm Kama sikosei... Dogo anatumia hela ovyo utadhani wanabustani ya hela home.
Kuna siku nilikuwa naye kawe, restaurant moja pia Kuna vinywaji, dogo kakaa masaa 2 katumia bili ya laki 4 na 20.
Wakati wakulugwa wenzangu alitumia 70k kimakosa Sana mbka home ilimpata.
UnanichekeshaCc
Saint Anne wa kishua
Hahahamwisho wa siku wakishua ni wachache na wa uswazi ni wengi hivyo wa jishua anakuwa na circle ndogo sana, Binafsi marafiki zangu baadhi wamesoma hizi shule za matajiri hata shuleni marafiki walikuwa wachache sana kwasababu daeasani unakuta wapo 20 tu, Kwenye profiles za instagram unakuta followers hawazidi hata 100 ila ukija kwetu sasa followers hata tuliosoma nao tu shule ya msingi wengi.
Kuna moja hapa alipomaliza feza girls akaenda kusoma huko uingereza, sasa kahitimu na amerudi mwezi wa tatu yani ile kuna siku tulikutana huko mjini tukapiga stori mbili tatu na kupeana namba yani ile wiki karibu kila saa simu ikiita au meseji ikiingia najua ni yeye, Hii ilikuwa ni dalili ya upweke...Basi naendelea kuwasiliana nae ila nmemwambia nina mke na yeye ni mwanamke so tuheshimiane kidogo