HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Inasemekana waliwahi enda Mahakamani kuweka pingamizi la Mzee kutoweka sahihi kwenye loloteVipimo ya kutambua alikuwaamechanganyikiwa vimewasilishwa mahakamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana waliwahi enda Mahakamani kuweka pingamizi la Mzee kutoweka sahihi kwenye loloteVipimo ya kutambua alikuwaamechanganyikiwa vimewasilishwa mahakamani?
hiyo haiwezi kuwa hoja yaan huwezi shinda kesi kwa kusema tu 2015-2019 ni muda mchache hivyo asipewe urithi, utashindwa kesi vibaya mnoo!Ndoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchana hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
Vipimo ya kutambua alikuwaamechanganyikiwa vimewasilishwa mahakamani?
Hii ikimaanisha kwamba?Inasemekana waliwahi enda Mahakamani kuweka pingamizi la Mzee kutoweka sahihi kwenye lolote
Inashangaza. Hao ikishindikana mahakamani nanusa kuuana/kutakuwepo uhasama utakao pelekea vifo, Ntuyabhaliwe awe mpole wagawane upya kila mtu atoke ameridhika kuepueha mengi.Na alichanganyikiwa kuanzia 2017 alipoandika Wosia mpaka anakufa siku zote hizo alikuwa amechanganyikiwa ?
Mbona biashara zake alizisimamia vyema ?
Mbona alikishiriki vyema kwenye sociql events akaandika mpaka kitabu ?
Sheria haiangalii Mihemko ya wachagaNdoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchana hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
You are very right. Wajiandae kisaikolojiaK lyn ana nafasi kubwa ya kushinda kesi zote... na atarithi mali..
wale watoto mapacha wanamlinda sana..
pia mahakama inataka documents.. hao ndugu wa mengi wanaosema mengi alikuwa kachanganyikiwa wataombwa ripoti ya muhimbili kuonesha Mengi amechanganyikiwa kabla hajaandika urithi
Mlitaka Mahakamani sasa mnataka tens "busara" itumike Tulieni na mjiandae kisaikolojiaHapo huo wosia ufute mambo yapangwe upya, hakuna haja ya kuzozana na kupelekana mahakamani , hata huyo k lyn kama ana busara basi aitumie kuweka mambo sawa na undugu uliopo uendelee lakini kama na yeye atakaza basi itaonekana kabisa kwamba hakuwa na nia njema na hiyo familia
Unaeleweka na uko wazi ila wanaupinga wanadai wakati marehemu anaandika huo wosia alikuwa taahira somehow, nadhani wana namna ya kumdhihirishia jaji kuwa marehemu aliandika wosia akiwa taahira(mental retarded/mental unstable).
Itakuwa wanataka kutuamisha kuwa hata kitabu alichoandika amekiandika wakati akiwa taahira(mwendawazimu/mentally insane).Na alichanganyikiwa kuanzia 2017 alipoandika Wosia mpaka anakufa siku zote hizo alikuwa amechanganyikiwa ?
Mbona biashara zake alizisimamia vyema ?
Mbona alikishiriki vyema kwenye sociql events akaandika mpaka kitabu ?
halafu unywe damu yake na nyingine uwapake wanao kisha msherehekee au sio. Wakati huohuo hukuchangia hata senti kwenye jasho la mtafuta maliHuyu K ni wa kumla shaba tu
Kuna uthibitisho wa kitabibu kwamba Mengi wakati anaandika alikuwa amechanganyikiwa?Benjamin Mengi ambaye amedai mbele ya mahakama kuwa wosia huo ni batili kwa sababu wakati kaka yake, Dk Mengi akiuandika, alikuwa amechanganyikiwa.