Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

KAMA VIPI WASIMAMIZI WA MALI WAWE WATOTO WAKUBWA WA MAREHEMU
 
Yote yana Mwisho..., Material things makes people forget most valuable things..., mfano undugu wa hao watoto ambao wamechangia baba is priceless...
 
Yani kirahisi rahisi mali itoke Machame hadi Manyovu. Hicho kijane kwanza kilimchakaza mzee hadi akafa. Hapa jambo rahisi kuliko yote ni kuondoa mtu.
 
Back
Top Bottom